Katika umri wa miaka 50 haujatoboa na wala hauna kitu. Kuna uwezekano wa kuwini maisha?

Katika umri wa miaka 50 haujatoboa na wala hauna kitu. Kuna uwezekano wa kuwini maisha?

Yaani inachanganya sana. Maana ukiwa na 50 maisha yako ni ya kupata hela ya kula tu.

Bado miaka 10 ustaafu, utaweza kutoboa maisha kweli ujenge, ununue gari na uwe na maisha
Inawezekana kama ulikuwa na mipango for years na at 50 Ndo imekuja kutiki

Kuna Mzee mmoja kaanza hiyo Kazi akiwa na 22yrs imekuja kumpa hela akiwa na 55yrs

Maisha hayana formula
 
Yani kwamba una 38? Bado mbichi sana
Mambo yapo resi sana muda mchache..

Hapa watoto, kujenga, gharama za maisha..

Binafsi niweke wazi Mimi naishi vizuri, nyumbani kwangu tunakula vizuri, Sasa haya maisha ya kuishi Leo Leo..Kuna Leo na kesho

Imebakia miaka 12 nifikishe 50 kwa uzima ni fasta NIMEKUA mzee

Nianze kuitwa MZEE JUNIOR 😊😂😁
 
Hufikishi miaka 50 wewe mzee junior wallah nakwambia kama umeanza kujipa mawazo hivyo kwisha habari yako

Andika wosia wa vikombe na matairi
 
Achana na sijui aliyeanzisha KFC hizo stori , kama tayari ni 50+ mshukuru mungu kwa umri aliokupa na baraka anazoendelea kukupa.

Gari na nyumba vya Nini hivyo wakati dunian tunapita , kwa miaka 50+ having maana tena wewe enjoy tu mkuu na vitu vingine
 
Yaani inachanganya sana. Maana ukiwa na 50 maisha yako ni ya kupata hela ya kula tu.

Bado miaka 10 ustaafu, utaweza kutoboa maisha kweli ujenge, ununue gari na uwe na maisha
Inawezekana kama umeshomesha
Utakachofanya weka mtaji watoto waendeshe biashara, kwa umri huo mikiki ya kuendesha biashara, ujenge ,ununue gari utakua umechelewa sababu ya nguvu/nishati kuwa ndogo, biashara yoyote utakayoanza return huwa ni baada ya miaka 6 hadi 7 ndo unaanza kuona matunda yake.

Weka mtaji kama un watoto ambao ni bright watakusaidia ku operate hiyo biashara wewe ubaki kuwa controller.
 
Kutoboa una maanisha nini? Mimi Kwa uzee wangu wa miaka 38 nikifikisha 50 nikawa na land angalau hekari 10 mifugo michache kijijini kwetu ntakua nimetoboa.Haya maisha ya mbio mbio mjini yashanichosha.
 
Acheni Watu Wafurahie Maisha Kwa Namna Yoyote Ile
Miaka Nini ? Nina Single Mom Miaka 35 Na Anakwambia Anatafuta Ndoa Takatifu Apande Madhabahuni

Mwingine Single Mom Watoto 2 Amezaa Kwa Wanaume Tofauti
juzi Kapata Kazi Sumbawanga
Acheni Waishi
 
Unaweza ku win, kama uko na idea kichwani, kama Kuna kitu unaona kabisa kichwani, ila kama huoni chochote kichwani, basi utamlaumu Mungu tu kuwa ana Upendeleo.

Mwanzilishi wa KFC alifanikiwa akiwa na miaka 60....
Alifanya kazi ya kuosha Vyombo hotelini, baadaye Waiter, kilichobaki na story tu kuwa aliwahi kuosha Vyombo Mghahawani.
Kweli Dunia inatupatia majibu yote tukiwa hai na mifano mintarafu (vivid).
 
Back
Top Bottom