Katika umri wa miaka 50 haujatoboa na wala hauna kitu. Kuna uwezekano wa kuwini maisha?

Katika umri wa miaka 50 haujatoboa na wala hauna kitu. Kuna uwezekano wa kuwini maisha?

Nisikilize Pia Maneno yangu kama Utayazingatia Pia itakuwa Njema. Umri si Kigezo cha Kufanikiwa na Kutofanikiwa maana Unaweza Fanikiwa ndani ya Miezi au Mwaka tu ukawa na Pesa za Kutosha, ukafanya hayo Unayoyasema ... ILA angalizo Langu ni Hili ,Mafanikio yako Yampendeze Mungu, Tafadhali usije Ukajiweka Katika Dhambi Kisa Pesa. Muombe Mungu ufanikiwe kwa Kumpendeza Yeye, maana Unaweza Ishi mpaka Miaka 90 hata 100. Kwahiyo unaweza Kuishi miaka 40 tena Mbele au 50 tena kwa Rehema zake
 
Suala la msingi kwenye kutoboa ni kuwa hai tu...as long as you are alive,utashine mzee.kama hujafa endelea kufanya unachofanya kwa bidii zaidi na maombi kwa unachoamini.
 
Yaani inachanganya sana. Maana ukiwa na 50 maisha yako ni ya kupata hela ya kula tu.

Bado miaka 10 ustaafu, utaweza kutoboa maisha kweli ujenge, ununue gari na uwe na maisha
KFC alitoboa na miaka mingapi vile?
 
Unatoboa tu, kikubwa juhudi na fursa. Kutoboa hakuhitaji maiaka mingi sana ukishakua kwenye reli
 
Pambana yule KFC alikua millionea each 80's
Sawa sawa

Ila kwa Afrika kwa umri huo tugemea kudra za mwenyezi tu.

Maana kwetu( Afrika) pagumu bila ya kuwa mwizi au connection za siasa, kwanza hao wanasiasa wenyewe wanataka kuwa matajiri wakutupwa, kukuachia tobo ngumu
 
Back
Top Bottom