Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Nimeanza kumfuatilia Tundu Lisu nimegundua kuwa amezeeka ni mzee WA miaka 56 na katika umri huu akiwa babu bado ana aikli za kitoto kabisa yaani mtu mzima lakini muigizaji balaa hafu ukiwalinganisha na anayetembelea nyota yake hawafanani hata kidogo kwa umri huo Tundu Lisu hajajenga hata Choo lkn kwa umri huo huo Magufuli alikuwa ameitumikia serikali kwa kiwango kikubwa na alikuwa bulldozer wa Mabarabara