Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Mambo ni magumu sana,
Katika uongozi mambo ni tofauti sana.
Kiongozi unaongoza watu, watu wote wanakuangalia wewe.
Hivyo ndugu yangu ukitaka kupendwa na hao watu wekeza akili yako kwao.
Hata ungekuwa na utajiri kiasi gani wananchi hawawezi kukupenda kama huwatumikii.
Hiyo ndio kanuni, ukiwapa wananchi huduma zao watakupenda tu hata kama huwapi pesa.