kasulavenance
JF-Expert Member
- Jan 23, 2020
- 759
- 914
Angalau leo Kishingo kaanza kuelewa matamanio yetu ya kuanza na Straika wawili.
Ngoja tuone leo Huku Mugalu kule Boko
SIMBA NGUVU MOJA
Ha ha ha A, karibu mkuuNilochelewa kusaign
Ila nmefika
Kabisa mkuu. Ila ngoja tuoneShida kiungo kitayumba
Kagereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Hatari , Leo mtu atakufa nyingi.Gooooooooo