Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Mikia Fc mmenunua Mechi
Tunasubiri Tuwanunue na Manyani ya Jangwani, tumeshaandaa Zoo ya kuja kuyaweka angalau Yale matunda badala ya Vitumbua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikia Fc mmenunua Mechi
Tayari makocha wanne waliowataka wametoa nje baada ya kuangalia mpira wa Simba na kuambiwa wanataka yanga wacheze kama hivyo wamesema labda yanga wasajili wanaokaa benchi Simba wanaweza kucheza nusu ya hapoKwa pira hili Yanga wanaweza kumtimua kocha wanayemfikiria kumpa mikoba
Shadeeya , yupo Online. Anapita kimya kimya.
Kuna watu walichungulia wakatafta jinsi ya kuminimize magoli angalau ya baki matanoNoma mzee
Ndio mana kocha anachezesha striker mmoja mana kuna Timu itakuja ifungwe hata 20 kama atachezesha washambuliaji wawili au zaidiHT:
JKT 0 - 3 Simba SC
[emoji460]️ Kagere 03' Minutes
[emoji460]️ Mugalu 05' Minutes
[emoji460]️ Kagere 40' Minutes
😂😂😂😂Utakuwa unaongea na Simu.
Wamejificha kwa aibu
Karibu, This is Simba Sister, Nice to see you[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha, we JamaaNdio mana kocha anachezesha striker mmoja mana kuna Timu itakuja ifungwe hata 20 kama atachezesha washambuliaji wawili au zaidi
Boko, hayuko fit.Huyu Chris Mugalu aliyemleta Mungu anakuona! Hivi Boko na Kahata ni majeruhi kwani hata benchi hawapo
Nimo Jamhuri nawaangalia hawa JKT wanavyouza mechi...
Endelea kutupa Updates muasisi mwenzangu wa TANU.Nimo Jamhuri nawaangalia hawa JKT wanavyouza mechi...
Natumai na Neil mtauza tarehe 18Nimo Jamhuri nawaangalia hawa JKT wanavyouza mechi...
Sema kama Biriani.Simba ni tamu kama maini
daah unainjoi kuliko hata sisi wenye Simba.Nimo Jamhuri nawaangalia hawa JKT wanavyouza mechi...
Nyeto=8, Moro=4, jumla 12/2,Akina nyeto wajiandae. Hizi si dalili njema.