DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hakuna kitu kibaya kama umaskini, unapoona umefanikiwa kupata pesa hakikisha haumsadii mtu, hasa wanawake. Mimi nawashangaa hawa wasiyo na kazi mnapiga mchongo mnagawana labda 800 USD halafu yeye ya kwake anawekeza katika uchi.
Siku chache anaanza kutibu UTI mara Syphilis na Gono. Tujifunze roho mbaya wana jukwaa. Tangu nimejifunza roho mbaya akaunti Inasoma vizuri pia. Naona taa ya kijani katika mambo mengi.
Mtoto wa kike akikuomba mwambie afanye kazi au mpe hata mtaji apambane. Kumpa mtu pesa bure ndiyo mwanzo anguko lako.
Saidia watu sahihi tu.