DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Nahisi hujamuelewa mtoa mada ametoa na mifano hapo inayoonyesha kuwasaidia watu wasio na umuhimu sanaKadri ninavyosaidia wenye uhitaji wa kweli ndivyo ninavyozidi kupata riziki,
Ni upi ufahari wa kua na milioni 5 bank wakati mtoto wa mjomba anko hana shati la shule? Itakupungukia nini? Wema hauozi, kama hauta kufaa wewe utamfaa mwanao au kizazi chako.
Kikubwa ni kujua pale ulipo na uwezo wa kusaidia na pale ambapo uwezo wako umeishia. Sijawahi kujuta kumsaidia mtu mwenye shida.
Kitu kingine kama hujui , ukimsaidia mtu akatatua shida yake, kuna raha na amani ya moyo unaipata ambayo yazidi utamu wa chochote kila unachoona kinaleta furaha.
"Tujifunze roho mbaya wana jukwaa. Tangu nimejifunza roho mbaya akaunti Inasoma vizuri pia. Naona taa ya kijani katika mambo mengi." Kipi kingine?Nahisi hujamuelewa mtoa mada ametoa na mifano hapo inayoonyesha kuwasaidia watu wasio na umuhimu sana
Tuko pamoja.Kadri ninavyosaidia wenye uhitaji wa kweli ndivyo ninavyozidi kupata riziki,