Anazunguka zunguka tu. Kuna muislam anaweza kuwa upande wa Israel? π€£Kwa nini uko upande wa Iran?
Inakusaidia nini? Kwanini huongelei vita ya Kongo au Msumbiji nyuumbu we?Mimi bila kupepesa macho nipo upande wa IRAN,Japo watu wamegawanyika katika munktadha wa kidini wakirsto wanapendelea ISRAEL Wakidhani ni Nchi Takatifu lakini ni Shetani na hatambui wa Roma! Pia Mimi sipendi watu wanaoonewa bila sababu mfano Vita ya Urusi ns Ukraine mimi nipo URUSI,kwanini kwakuwa mmarekani amekuwa akitumia nchi nyingine kuaribu ustaarabu wa mahali husika ila nasema ipo siku atachokoza mahali ICBM Zitatumwa kwake moja kwamojakwa moja! Hivyo Iran,Urusi,Palestine nipo nyuma yao!
Swali zuri sana! Iran alikuwa kibaraka wa US lakini alipogeuka na kusoma mchezo akaanza kuwekewa zengwe na mabwanyenye wakisema hatakiwi kumiliki Nyuke,kwani nani anatakiwa kumiliki nyuke?? kama nchi zinajiita wenye ustaarabu waliwahi kuchoma nchi na atomic bomb na leo wapo na nyuke aliwekewa vikwazo akapambana na magaidi wakutengenezwa ila leo ametengeneza nchi yake japo sasa hivi wameiharibu! Hivyo kwa misimamo yake tu napenda kuwa upande wake. Ni hilo tu.Kwa nini uko upande wa Iran?
Swali zuri sana!Kwa nini uko upande wa Iran?
π π
Kwani kuna tofauti na vita ya ghuba?Vita ya Congo nikama manayotaka kuzalisha hapa kwa uroho wa madaraka na mali.
Salaam alykum sheikh ubwabwa?Mimi bila kupepesa macho nipo upande wa IRAN,Japo watu wamegawanyika katika munktadha wa kidini wakirsto wanapendelea ISRAEL Wakidhani ni Nchi Takatifu lakini ni Shetani na hatambui wa Roma!
Pia Mimi sipendi watu wanaoonewa bila sababu mfano Vita ya Urusi ns Ukraine mimi nipo URUSI,kwanini kwakuwa mmarekani amekuwa akitumia nchi nyingine kuaribu ustaarabu wa mahali husika ila nasema ipo siku atachokoza mahali ICBM Zitatumwa kwake moja kwamojakwa moja! Hivyo Iran,Urusi,Palestine nipo nyuma yao!
Acha kuwa muongo muongo. Imani Yako ndio imefanya uione Israel ni mashetani.Swali zuri sana! Iran alikuwa kibaraka wa US lakini alipogeuka na kusoma mchezo akaanza kuwekewa zengwe na mabwanyenye wakisema hatakiwi kumiliki Nyuke,kwani nani anatakiwa kumiliki nyuke?? kama nchi zinajiita wenye ustaarabu waliwahi kuchoma nchi na atomic bomb na leo wapo na nyuke aliwekewa vikwazo akapambana na magaidi wakutengenezwa ila leo ametengeneza nchi yake japo sasa hivi wameiharibu! Hivyo kwa misimamo yake tu napenda kuwa upande wake. Ni hilo tu.
Shangaa atakuja kujitetea hapa kua yeye n mvaa msalabaTangu lini mvaa kobazi akawa upande wa Israel??