Weeeeee!! Mumeo ni Ben Saanane.
Hahahahahaha...yaani wewe..no comments
Wera weraaa muzee ya negation mulika mwizi
Umeona eeh? Kichanga hajambo?
hajambo
Mambo ya humu ndo yanayonichosha.Vipi tena mbona umeishiwa nguvu?
Wewe teena...na unaishobokea si mchezo...!!Aliyekuambia kuwa nina shida na nanii yako nani?
charminglady majanga hayoKopi ingine kwa mtarajiwa wangu na shem la Arusha Wing charminglady
Kwakuwa naiogopa.
heri yangu sijasoma hapa.
Hujasoma lkn umeona.
Semegi !
Punguzaga basi kujitoa fahamu! Huchokagi kutupiga fix?
Muwa unaogopwa?