Katika viumbe vyote kiumbe kinachoteseka sana ni ' BINADAMU' je umejiuliza kwanini?

Katika viumbe vyote kiumbe kinachoteseka sana ni ' BINADAMU' je umejiuliza kwanini?

Si kweli kwa mtazamo wangu, jaribu kuangalia mtindo wa maisha kwa wanao jiita wenye akili na mtindo wa maisha kwa wanao semekana hawana akili uone ni yupi kati yao mtindo wake wa maisha unamtesa .

Ina hata viumbe kama ndege wadudu na wanyama, ambao hawaja badilisha mtindo wa maisha ya asili na sisi binadamu baada ya kupata maarifa tunayo ita akili ni nani kati ya hayawani na sisi wanataabika na mtindo wa maisha.
 
Katika viumbe vyote kiumbe kinachoteseka sana ni ' BINADAMU' je umejiuliza kwanini?

Sababu kubwa ni kuwa binadamu ndo kiumbe ambacho hakina akili .

Ebu fikiria MTU anaumia ,anateseka , anakuwa mwizi , ili tu apate vitu ambavyo kavitengeneza binadamu mwenzake .
Muombe mungu wako akugeuze uwe mnyama uishi polini, lakini akupe akili ya kibinaadamu hapo ndo utajua kiumbe gani anateseka zaidi.
 
The way we try to make things easier the way we suffer.
Katika kipindi ambacho tunajivunia kuwa na tecknolojia kubwa zaidi ndo kipindi ambacho magonjwa mengi yasio na tiba yanaongezeka.
Wajawazito wanajifungua sana kwa operation.
I think we are Fvcked
 
True
 
Nebkandneza, Mfalme wa Babeli alifanywa hayawani akaishi polini kama adhabu, utafiti wako ungekuwa kweli basi huyu mfalme ange "enjoy" hayo maisha ya polini na angelalamika kurudishwa ubinadamuni.
 
Binaadamu anateseka? Muulize swala au ngiri hapo porini anavyoishi kwa machale akijisahau tu anakuwa chakula cha simba au chui
Swala, ngiri na bodaboda hawatofautiani sana. Lolote linatokea saa yoyote.
 
Back
Top Bottom