Katika viumbe vyote kiumbe kinachoteseka sana ni ' BINADAMU' je umejiuliza kwanini?

Katika viumbe vyote kiumbe kinachoteseka sana ni ' BINADAMU' je umejiuliza kwanini?

Hata hauwindwi kuliwa na hauwindi chakula chako.

Umewahi ona chui kaenda kuomba chakula kwa simba?

Wewe unaweza andika mtandaoni huna hela ya kula ukatumiwa elfu mbili ukala mkate
 
Nebkandneza, Mfalme wa Babeli alifanywa hayawani akaishi polini kama adhabu, utafiti wako ungekuwa kweli basi huyu mfalme ange "enjoy" hayo maisha ya polini na angelalamika kurudishwa ubinadamuni.
Hadithi za abunuasi hizo
 
Katika viumbe vyote kiumbe kinachoteseka sana ni ' BINADAMU' je umejiuliza kwanini?

Sababu kubwa ni kuwa binadamu ndo kiumbe ambacho hakina akili .

Ebu fikiria MTU anaumia ,anateseka , anakuwa mwizi , ili tu apate vitu ambavyo kavitengeneza binadamu mwenzake .
Mimi nadhani wanyama wanateseka zaidi kwakuwa wanafugwa mwisho wa siku wanachinjwa huku wanajiona wanavyokufa
 
Binaadamu anateseka? Muulize swala au ngiri hapo porini anavyoishi kwa machale akijisahau tu anakuwa chakula cha simba au chui
Vp kuhusu South Sudan, Kwa M23, Gaza, Ukraine, wanatofauti na swala au kasongo,,,
 
Vp kuhusu South Sudan, Kwa M23, Gaza, Ukraine, wanatofauti na swala au kasongo,,,
South Sudan wanaishi maisha mazuri kuliko wabongo. Ukifika kule v8 na gwagon ndo tax. Hela ya mafuta imetapakaa kila mahala. Kwenye nchi ya S. Sudan kuishi kule inabidi uwe lion.
 
Back
Top Bottom