Muombe mungu wako akugeuze uwe mnyama uishi polini, lakini akupe akili ya kibinaadamu hapo ndo utajua kiumbe gani anateseka zaidi.Katika viumbe vyote kiumbe kinachoteseka sana ni ' BINADAMU' je umejiuliza kwanini?
Sababu kubwa ni kuwa binadamu ndo kiumbe ambacho hakina akili .
Ebu fikiria MTU anaumia ,anateseka , anakuwa mwizi , ili tu apate vitu ambavyo kavitengeneza binadamu mwenzake .
TrueThe way we try to make things easier the way we suffer.
Katika kipindi ambacho tunajivunia kuwa na tecknolojia kubwa zaidi ndo kipindi ambacho magonjwa mengi yasio na tiba yanaongezeka.
Wajawazito wanajifungua sana kwa operation.
I think we are Fvcked
Hii ndo sababuKwa sababu ana akili na reasoning
Punda na Ng'ombeKatika viumbe vyote kiumbe kinachoteseka sana ni ' BINADAMU' je umejiuliza kwanini?
Swala, ngiri na bodaboda hawatofautiani sana. Lolote linatokea saa yoyote.Binaadamu anateseka? Muulize swala au ngiri hapo porini anavyoishi kwa machale akijisahau tu anakuwa chakula cha simba au chui
Siyo kwa hao tu kila mmoja anaweza kupatwa na lolote wakati wowote.Swala, ngiri na bodaboda hawatofautiani sana. Lolote linatokea saa yoyote.
Mimi naona kuku wanachinjwa sanaKatika viumbe vyote kiumbe kinachoteseka sana ni ' BINADAMU'
Kuna muda nawazaga hili pia maisha ya preys yalivyo. Akizubaa tu anakuwa chakulaBinaadamu anateseka? Muulize swala au ngiri hapo porini anavyoishi kwa machale akijisahau tu anakuwa chakula cha simba au chui
Kabisa. Nimesema bodaboda sababu na sisi saa tumezipanda ni bodaboda.Siyo kwa hao tu kila mmoja anaweza kupatwa na lolote wakati wowote.