Katika wanawake 10,wa 5 wanaingiliwa jicho

Matendo yote ya ngono yanachagizwa na ubongo, kuanzia mawazo, libido, erection, nk.


Wewe unayomatatizo binafsi, mimi sijakukataza kula kitimoto.

Sasa, Mawazo, Libido na erection zinaanza vipi bila kuwepo na vichocheo mwilini??, libido (hamu ya tendo la ngono/ ashiki), erection (kushimamisha) na mawazo ya kutenda hilo tendo lazima kuwepo na kichocheo/ vichocheo ndani ya mwili wa mtu na ndiyo maana leo kuna Viagra ( mkuyati) ili kuwasaidia wale wenye nguvu hafifu za tendo la ngono, hiyo viagra ni kichocheo.

Unapokula kitimoto unakula pamoja na kichocheo kilichomo ndani ya hiyo nyama, kichocheo ambacho humfanya huyo mnyama (nguruwe) apende kupigwa jicho au kupiga jicho wao kwa wao, na kichocheo hicho kinayo athari kwa watumiaji wa hiyo nyama yaani na wao hupenda kula au kuliwa jicho.πŸ—
 
Hicho 'kichocheo' kinaitwaje?
 
Vp kule zenji napo mana vijana wengi kule anato jicho asa cjajua kama n kule wanakula kitimoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vp kule zenji napo mana vijana wengi kule anato jicho asa cjajua kama n kule wanakula kitimoto

Sent using Jamii Forums mobile app


Lazima uelewe kwamba wanaokula sana "kitimoto" (staple food) ndiyo wanaokulana macho zaidi, sina maana kwamba hakuna kabisa wanaokulana macho wasiokula kitimoto, hao wapo duniani pote na wengi wao wanafanya mambo hayo kwa siri kubwa tofauti na wala macho wanaokula kitimoto ni kwamba wala kitimoto wao hawana aibu hujitangaza hadharani kwamba wao ni mashoga na wameunda vyama vya kutetea haki zao na kutambuliwa kama watu huru kufanya uchafu wao "publicly and not behind the scene" na hasa huko Ulaya na Marekani ambapo wanatambuliwa kisheria na huko kitimoto analiwa sana kama jinsi huku kwetu tunavyokula Maharage au dagaa.

Kitimoto ndiyo inayoambukiza Ushoga zaidi kuliko vyanzo vingine.
 
Mwaka wa 20 huu nakula kitimoto
Sijawahi kutana na unayosema hayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Teflon_Don
 
Wewe unayekula nyama ya kuku vipi unataga!!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka wa 20 huu nakula kitimoto
Sijawahi kutana na unayosema hayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Teflon_Don


Wewe huli "kitimoto" unaonja tu, wanaokula "kitimoto" ni wale ambao katika kila mlo wao utakuta kitimoto kimo.

Tofautisha kati ya kula na kuonja.
Unaonja vipande 2 kwa wiki, halafu unadai eti unakula😁😁😁 ?!!
 
Kwa hiyo Zanzibar ni walaji wa nguruwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadithi Za Abunuwasi. Kuna Mijinga Itaamini This Gibberish.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…