Katika wanawake 10,wa 5 wanaingiliwa jicho

Katika wanawake 10,wa 5 wanaingiliwa jicho

Kwani Migebuka na Maharage wanalana "jicho" kama nguruwe??, wewe vipi?!😁😁😁
1065846
 


Hao ndio Nguruwe wanyama "wanaokulana" wao kwa wao, mtu ukila nyama yao unayo hatari ya kuambukizwa tabia hiyo mbaya na pia hatari ya kuambukizwa magonjwa mengine mengi yaliyomo kwenye nyama yake.

Nyama ya nguruwe ni nyama inayokaribiana sana na nyama ya binadamu na ndiyo maana wanasayansi wa tiba wanafanyia utafiti wa viungo vya nguruwe kama macho, maini, mafigo, mapafu nk, vutumike kama viungo mbadala ya viungo vilivyoharibika vya mwanadamu, hivyo kula kitimoto ni KARIBU sana na kula nyama ya mtu (closer to cannibalism) na ndiyo maana nyama hiyo inayo madhara makubwa kwa binadamu.
 
Back
Top Bottom