Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Sijui kama kuna watu wanajua utakufa na maisha yako ndio mwisho.
Ila mzee prof mussa juma assad. na wale idara yote ukaguzi sijui wameumbwaje na wengi sana wanaoshika hii idara.
Hata ukipewa hii idara inaonesha ni bora kujiepusha na maovu ya unayosema kila siku kuhusu ushenzi wanchi.
Ukiwa hii idara we ni zaidi mwanaharakati.
CCM wanafanya uchafu sana.Mwisho wa siku unaona kuomba mungu ajira ya huko ukifa kukuepushia ya dunia.
Mzee wetu unajua haki.