Mungu amabarki sanaSijui kama kuna watu wanajua utakufa na maisha yako ndio mwisho.
Ila mzee prof mussa juma assad. na wale idara yote ukaguzi sijui wameumbwaje na wengi sana wanaoshika hii idara.
Hata ukipewa hii idara inaonesha ni bora kujiepusha na maovu ya unayosema kila siku kuhusu ushenzi wanchi.
Ukiwa hii idara we ni zaidi mwanaharakati.
CCM wanafanya uchafu sana.Mwisho wa siku unaona kuomba mungu ajira ya huko ukifa kukuepushia ya dunia.
Mzee wetu unajua haki.View attachment 3612690
Anyway, hv kwann n blacks tuu Ndo Wana Hizo sigda Ila Waarabu wenye macca na Madina yao hawana hizo mambo?
Dahh bangi tena🤣Huyo ndio profesa!!?? Mbona anaonekana kama anavuta bangi,afu uko mkwajuni au mchamba wima!!?? Kuna kitu nataka nijiridhishe hapa
swali muhimu hili, malaria, sheikh Ritz etcAnyway, hv kwann n blacks tuu Ndo Wana Hizo sigda Ila Waarabu wenye macca na Madina yao hawana hizo mambo?
Kwa hiyooo?Sijui kama kuna watu wanajua utakufa na maisha yako ndio mwisho.
Ila mzee prof mussa juma assad. na wale idara yote ukaguzi sijui wameumbwaje na wengi sana wanaoshika hii idara.
Hata ukipewa hii idara inaonesha ni bora kujiepusha na maovu ya unayosema kila siku kuhusu ushenzi wanchi.
Ukiwa hii idara we ni zaidi mwanaharakati.
CCM wanafanya uchafu sana.Mwisho wa siku unaona kuomba mungu ajira ya huko ukifa kukuepushia ya dunia.
Mzee wetu unajua haki.View attachment 3612690
Kwa serikali ipiHuyo mzee anapaswa kuwa Gavana wa BOT kama sio waziri wa fedha
mtenda haki, hapendi ufisadi, sio mwizi, hapokei rushwa
nakumbuka aliwaambia wale watunga sheria hawajui kazi yao katika kujadili hoja za mkaguzi ziliwasilishwa kwao
Wamekula kona 😂Ukijibiwa naomba unitag
The guy kanyooka sana, mkweli na hana makuu.Sijui kama kuna watu wanajua utakufa na maisha yako ndio mwisho.