Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wa kazi Wa Jiji la Arusha piaHabari za asubuhi wakuu, kwa wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro tujiandae leo kutakua na katizo la umeme tokea saa 3 asubuhi hadi saa 9 alasiri.
Lengo ni kufanya marekebisho kwenye line yenye msongo wa KV 400 kutokea Singida hadi Arusha.
Tahadhari usikanyage wala kushika waya uliodondoka chini, toa taarifa kwenye ofisi iliyopo karibu nawe.
Sio kila mara, labda inategemea na eneo kiwilayaHuo mkoa ma kukatika umeme [emoji119][emoji119]
Kiiila kukicha matengenezo yasiyokwisha.
Haya matengenezo kwa muda wa siku ngapi?Habari za asubuhi wakuu, kwa wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro tujiandae leo kutakua na katizo la umeme tokea saa 3 asubuhi hadi saa 9 alasiri.
Lengo ni kufanya marekebisho kwenye line yenye msongo wa KV 400 kutokea Singida hadi Arusha.
Tahadhari usikanyage wala kushika waya uliodondoka chini, toa taarifa kwenye ofisi iliyopo karibu nawe.
Leo tuHaya matengenezo kwa muda wa siku ngapi?
Itabidi niagize kontena la majenereta,,, na kituo cha mafuta kabisaNunua generator 😂
Kwanini wasikate saa sita usiku hadi saa kumi na mbili asubuhi?Habari za asubuhi wakuu, kwa wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro tujiandae leo kutakua na katizo la umeme tokea saa 3 asubuhi hadi saa 9 alasiri.
Lengo ni kufanya marekebisho kwenye line yenye msongo wa KV 400 kutokea Singida hadi Arusha.
Tahadhari usikanyage wala kushika waya uliodondoka chini, toa taarifa kwenye ofisi iliyopo karibu nawe.
Huko maporini wakiumwa na wanyama wakali je? Huo muda pia viwanda navyo vinafanya kaziKwanini wasikate saa sita usiku hadi saa kumi na mbili asubuhi?
Taarifa zilitolewa na ofisi za mikoa
Pitia post number 22 kuna barua ya mkoa wa ArushaLini?
Umeme umekata tangu sa5 usiku mpaka sasahivi..hakuna umeme.Habari za asubuhi wakuu, kwa wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro tujiandae leo kutakua na katizo la umeme tokea saa 3 asubuhi hadi saa 9 alasiri.
Lengo ni kufanya marekebisho kwenye line yenye msongo wa KV 400 kutokea Singida hadi Arusha.
Tahadhari usikanyage wala kushika waya uliodondoka chini, toa taarifa kwenye ofisi iliyopo karibu nawe.
Huko ulipo mkuu toa taarifa ofisi husikaUmeme umekata tangu sa5 usiku mpaka sasahivi..hakuna umeme.
#MaendeleoHayanaChama
Vimbunga vikipita mtapata pa ku commentSisi tunaoishi London tuna comment wapi?