Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
🤣🤣🤣🤣🤣😂Kuna binti alikuwa na ujauzito wangu. Alitarajiwa kujifungua December hii (makadirio yalikuwa tar. 7).
Nimeona muda unazidi kwenda kimya nikauliza akaniambia mimba ilitoka mwezi wa 9. Sina uhakika ilitoka kweli au alitoa.
Nafikiri kwenda mahakamani kuiomba mahakama iombe taarifa kutoka hosp iliyomhudumia (amesema alikwenda hosp ya serikali) ili nijiridhishe kutoka kwa wataalamu waliomuhudumia kama kweli mimba ilitoka au alifanya abortion. Ikiwa alifanya abortion nakusudia kumshitaki.
Naomba msaada wa mawazo yenu nijue namna ya kushughulika na hili swala.
1. Hiyo mimba uliiona au uliambiwa?
2. Kama jibu kuwa hukuiona uliambiwa...umetapeliwa, alitaka umpe matunzo tu, wanawake baadhi kwasasa ni matapeli sana.
Nimesema wanawake (baadhi sio wote)