Katoa mimba yangu naomba msaada wa kisheria

🤣🤣🤣🤣🤣😂
1. Hiyo mimba uliiona au uliambiwa?
2. Kama jibu kuwa hukuiona uliambiwa...umetapeliwa, alitaka umpe matunzo tu, wanawake baadhi kwasasa ni matapeli sana.
Nimesema wanawake (baadhi sio wote)
 
Safi sana mkuu, hivi hawa wapumbavu wanamchukulia mwanamke kama second citizen, mtoto anakua ndani ya mwili wa mwanamke, ni HAKI yake aruhusu au asiruhusu, na next time mtoa hoja tumia condoms au zinakubana?
 
On behalf of "mtoa mada":-

Kwanini asiniambie tu pale tu mimba ilipotoka, hadi asubiri nimuulize, hii ni intended abortion lazima nimfikishe mahamani.
Kama una mkataba peleka mahakamani waka utafsiri kisheria!!
 
Wewe nahisi ulitaka uongeze single mother mwingine baadae watu waanze tuonyeshe kaburi la baba yake
 
Safi sana mkuu, hivi hawa wapumbavu wanamchukulia mwanamke kama second citizen, mtoto anakua ndani ya mwili wa mwanamke, ni HAKI yake aruhusu au asiruhusu, na next time mtoa hoja tumia condoms au zinakubana?

Mfano wa mtu aliye na air-filed scull
 

Hamna hata mmoja humu aliyetaka taarifa zaidi ili aweze kujudge vizuri situation. Wengi mnakurupuka tu kureflect ujinga wenu.
 
Unajuaje mimba ni yako?
 
Hii nchi inasapoti uzazi wa mpango.

Means inasapoti matumizi ya kondomu.

Means inasapoti abortion
Kuna tofauti kati ya kuzuia na kutoa.

Kondomu ni kwa ajili ya kuzuia, p2 ni kwa ajili ya kuzuia.

Abortion unatoa kitu kilichotungwa tayari.

Sifahamu sheria yetu inasema nini juu ya hili.
 
Mkuu baba david,
Mbali na yote kwa hili bandiko lako unaonekana ulikuwa irresponsible.
Na kunaonekana hakuna mawasiliano mazuri baina yenu.

Kama alitarajia dec7 leo ni 24th na anasema mimba imetoka mwezi wa 9 hilo ni tatizo.

Kama binti hakuwa mke halali hapo sijaelewa hapo inakuaje.


Thread 'Sheria ya Katazo la Utoaji Mimba Tanzania na uhalisia wa maisha mtaani'
Sheria ya Katazo la Utoaji Mimba Tanzania na uhalisia wa maisha mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…