Katoa mimba yangu naomba msaada wa kisheria

Kamata peleka kwenye vyombo vya sheria akifinywa atawataja alioshirikiana nao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Polisi kwenyewe watakuona wew kichaaaa...!!
 
Kwani ni mkeo huyo?

Kama sio mkeo, hiyo mimba mlipeana kwa mkataba upi?
Unasema kama nikimpa mimba ambaye sijamuoa au hatuna mkataba sina ulazima wa kuwajibika kwa mtoto atakayezaliwa??
 
Logical non sequitur.

Unajuaje mimba ni yako? Hujajibu swali.

Tuseme unashitaki mahakamani. Unasema huyu katoa mimba yangu.

Unaulizwa, unajuaje mimba ni yako?

Utajibu vipi?

Original post yangu mwisho kabisa niliomba msaada wa namna ya kuproceed na hili suala. So nini kitahitajika? DNA? Kama una uelewa ndio uongee sasa maana mwanaume utaprove vipi mimba ni yako kabla mtoto hajazaliwa?
 
Nilitaka ideas za namna ya kuproceed. Asante mkuu kwa hili. Wengine please come up with what you think may be of much help sio kureflect uvivu wako wa kufikiri.
 
Kwa Sheria za Tanzania Abortion ni Crime (Case Closed awe mpenzi au adui wako ni immaterial ) Sasa tukija kwenye suala lako ulijuaje ana mimba ? Na unataka kupeleleza medical history yake huoni kwamba utakuwa unavuka mipaka?

Anyway ushauri wangu kwako sioni faida utakayopata kwenye hizi songombingo, wekaza muda wako kwenye mambo mengine.....
 
Nilitaka ideas za namna ya kuproceed. Asante mkuu kwa hili. Wengine please come up with what you think may be of much help sio kureflect uvivu wako wa kufikiri.
Ili watu wasingeku judge hivi ulipaswa kuandika kwa krefu mkuu.

Mtu yoyote akisoma stori hii wewe utaonekana baba jina hujui majukumu yako.

Wish the best luck.
 
Fact.
 
Yaani wewe fala kweli unatia binti wa watu mimba tyen unakula kona hata hauhudumii saiz unataka uende polisi. Jinga sana nlitaka nikutukane ila naogopa ban
 
Ili watu wasingeku judge hivi ulipaswa kuandika kwa krefu mkuu.

Mtu yoyote akisoma stori hii wewe utaonekana baba jina hujui majukumu yako.

Wish the best luck.

Of course niliandika kwa kifupi nikitumaini mtu atayekuwa na idea za kunisaidia atauliza specific information fulani nimjibu. Isingewezekana kunarrate kila kitu hapa, useful information zingepatikana kwa maswali mkuu. Sijui kama unanielewa.
 
Mlikubaliana kuzaa? Au ulikua na mpango wa kumgeuza 'singo maza' halafu baadaye uje kujisifu JF na kuendelea kuimba nyimbo za "Kataa Ndoa"?
 
Of course niliandika kwa kifupi nikitumaini mtu atayekuwa na idea za kunisaidia atauliza specific information fulani nimjibu. Isingewezekana kunarrate kila kitu hapa, useful information zingepatikana kwa maswali mkuu. Sijui kama unanielewa.
Baba david,

sometime the one you seek advise to, cannot provide any because of the discreprancy in the story you deliver.

Hatujui ni mke umesema ni binti.

Kuna kipindi kirefu unakuja kupewa taarifa mimba imetoka!

Hata wengi waliokushauri wamekuuliza hiyo mimba yako kweli?

sababu ya stori tu, huwezi shauri mtu stori ambayo huielewi.

Nafikkri umeelwa point mkuu.
 
Original post yangu mwisho kabisa niliomba msaada wa namna ya kuproceed na hili suala. So nini kitahitajika? DNA? Kama una uelewa ndio uongee sasa maana mwanaume utaprove vipi mimba ni yako kabla mtoto hajazaliwa?
Basi usijipendekeze sana kusema mimba yako wakati huna hata hakika na hilo na huwezi kulithibitisha.

Tafuta mwingine umtie mimba uhakiki DNA mtoto akizaliwa.

Kwani huna uwezo wa kutia mimba nyingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…