Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu funguka.Hamna hata mmoja humu aliyetaka taarifa zaidi ili aweze kujudge vizuri situation. Wengi mnakurupuka tu kureflect ujinga wenu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Polisi kwenyewe watakuona wew kichaaaa...!!Kamata peleka kwenye vyombo vya sheria akifinywa atawataja alioshirikiana nao.
Logical non sequitur.Ni ya kwako mkuu?
Mimi nimekuuliza, umejuaje mimba ni yako?Hamna hata mmoja humu aliyetaka taarifa zaidi ili aweze kujudge vizuri situation. Wengi mnakurupuka tu kureflect ujinga wenu.
Unasema kama nikimpa mimba ambaye sijamuoa au hatuna mkataba sina ulazima wa kuwajibika kwa mtoto atakayezaliwa??Kwani ni mkeo huyo?
Kama sio mkeo, hiyo mimba mlipeana kwa mkataba upi?
Mimi nimekuuliza, umejuaje mimba ni yako?
Mpaka sasa hujajibu.
Logical non sequitur.
Unajuaje mimba ni yako? Hujajibu swali.
Tuseme unashitaki mahakamani. Unasema huyu katoa mimba yangu.
Unaulizwa, unajuaje mimba ni yako?
Utajibu vipi?
Mkuu baba david,
Mbali na yote kwa hili bandiko lako unaonekana ulikuwa irresponsible.
Na kunaonekana hakuna mawasiliano mazuri baina yenu.
Kama alitarajia dec7 leo ni 24th na anasema mimba imetoka mwezi wa 9 hilo ni tatizo.
Kama binti hakuwa mke halali hapo sijaelewa hapo inakuaje.
Thread 'Sheria ya Katazo la Utoaji Mimba Tanzania na uhalisia wa maisha mtaani'
Sheria ya Katazo la Utoaji Mimba Tanzania na uhalisia wa maisha mtaani
Ili watu wasingeku judge hivi ulipaswa kuandika kwa krefu mkuu.Nilitaka ideas za namna ya kuproceed. Asante mkuu kwa hili. Wengine please come up with what you think may be of much help sio kureflect uvivu wako wa kufikiri.
Fact.Kwa Sheria za Tanzania Abortion ni Crime (Case Closed awe mpenzi au adui wako ni immaterial ) Sasa tukija kwenye suala lako ulijuaje ana mimba ? Na unataka kupeleleza medical history yake huoni kwamba utakuwa unavuka mipaka?
Anyway ushauri wangu kwako sioni faida utakayopata kwenye hizi songombingo, weka muda wako kwenye mambo mengine.....
Ili watu wasingeku judge hivi ulipaswa kuandika kwa krefu mkuu.
Mtu yoyote akisoma stori hii wewe utaonekana baba jina hujui majukumu yako.
Wish the best luck.
Mlikubaliana kuzaa? Au ulikua na mpango wa kumgeuza 'singo maza' halafu baadaye uje kujisifu JF na kuendelea kuimba nyimbo za "Kataa Ndoa"?Kuna binti alikuwa na ujauzito wangu. Alitarajiwa kujifungua December hii (makadirio yalikuwa tar. 7).
Nimeona muda unazidi kwenda kimya nikauliza akaniambia mimba ilitoka mwezi wa 9. Sina uhakika ilitoka kweli au alitoa.
Nafikiri kwenda mahakamani kuiomba mahakama iombe taarifa kutoka hosp iliyomhudumia (amesema alikwenda hosp ya serikali) ili nijiridhishe kutoka kwa wataalamu waliomuhudumia kama kweli mimba ilitoka au alifanya abortion. Ikiwa alifanya abortion nakusudia kumshitaki.
Naomba msaada wa mawazo yenu nijue namna ya kushughulika na hili swala.
Wanasheria na mawakili mlioko humu chondechonde wakuu. Nisaidieni tafadhali.
Baba david,Of course niliandika kwa kifupi nikitumaini mtu atayekuwa na idea za kunisaidia atauliza specific information fulani nimjibu. Isingewezekana kunarrate kila kitu hapa, useful information zingepatikana kwa maswali mkuu. Sijui kama unanielewa.
Basi usijipendekeze sana kusema mimba yako wakati huna hata hakika na hilo na huwezi kulithibitisha.Hata mimi sijui mkuu, nielekeze namna ya kujua tafadhali.
Basi usijipendekeze sana kusema mimba yako wakati huna hata hakika na hilo na huwezi kulithibitisha.Original post yangu mwisho kabisa niliomba msaada wa namna ya kuproceed na hili suala. So nini kitahitajika? DNA? Kama una uelewa ndio uongee sasa maana mwanaume utaprove vipi mimba ni yako kabla mtoto hajazaliwa?