Katoa mimba yangu naomba msaada wa kisheria

Kuna binti alikuwa na ujauzito wangu. Alitarajiwa kujifungua December hii (makadirio yalikuwa tar. 7).

Nimeona muda unazidi kwenda kimya nikauliza akaniambia mimba ilitoka mwezi wa 9. Sina uhakika ilitoka kweli au alitoa.

Nafikiri kwenda mahakamani kuiomba mahakama iombe taarifa kutoka hosp iliyomhudumia (amesema alikwenda hosp ya serikali) ili nijiridhishe kutoka kwa wataalamu waliomuhudumia kama kweli mimba ilitoka au alifanya abortion. Ikiwa alifanya abortion nakusudia kumshitaki.

Naomba msaada wa mawazo yenu nijue namna ya kushughulika na hili swala.
kabla ya kufikia kwenda kwenye vyombo vya kisheria. Mwambie yeye mwenyewe akupe taarifa zake za hocpital (nyaraka usome) ilikujilidhisha
 
Kuna binti alikuwa na ujauzito wangu. Alitarajiwa kujifungua December hii (makadirio yalikuwa tar. 7).

Nimeona muda unazidi kwenda kimya nikauliza akaniambia mimba ilitoka mwezi wa 9. Sina uhakika ilitoka kweli au alitoa.

Nafikiri kwenda mahakamani kuiomba mahakama iombe taarifa kutoka hosp iliyomhudumia (amesema alikwenda hosp ya serikali) ili nijiridhishe kutoka kwa wataalamu waliomuhudumia kama kweli mimba ilitoka au alifanya abortion. Ikiwa alifanya abortion nakusudia kumshitaki.

Naomba msaada wa mawazo yenu nijue namna ya kushughulika na hili swala.
Ulikuwa unahudimia iyo mimba lakin?
 
H

HApo sheria inakubana mkuu

1. Endapo utaenda fungua kesi lazima mahakama ikuombe legal bond na mhusika kwa maana ya lazma unayemshitaki kwa kesi ya aina yako lazma awe mke wako kihalali kwa ushahidi wa cheti cha ndoa na mashahidi endapo mahakama itaamua hivyo

2. Lazima uiridhishie mahakama kuwa kipindi hicho chote ulikuwa karibu na mama mjamzito kihuduma kwa mama na kichanga hapa bills za hospital lazma zihusike mzee.

ukiweza thibitisha hayo na kama ulikuwa unahudumia mimba mwisho wa siku yakafanyika yaliyofanyika unaweza kutengeneza kesi ya madai na hii ni endapo kama miamala yote ulokuwa unamtumia ulikuwa unatuma kwa bank au mitandao ya siku.

Otherwise kama dada ni mjanja anaweza kwenda hosptal akayengeneza report kuwa mimba iliharibika kesi ikaishia hvyo.

Na kama ni mshenzi anaweza hata kukubadilikia na kusema sababu ya kuitoa mimba ni sababu ulimbaka na hakuweza kuitoa kipindi upo sababu ulimtishia maisha yake /kumuua na ikiwa hvyo jua umeisha so be careful my friend
 
Una uhakika mimba ilikuwa yako?
 
Jiangalie Mkuu wanawake sio watu,

unaweza kumpeleka mahakamani akakugeuzia kesi akasema ulimbaka hapo ndo Utajua kwanini Magufuli alikuwa akisema "Ndugu zangu mniombee"
daah! Hii comment imenichekesha Sana,mkuu umewaza nini mpaka ukaandika hivi?1🤣🤣
 
Kuna binti alikuwa na ujauzito wangu. Alitarajiwa kujifungua December hii (makadirio yalikuwa tar. 7).

Nimeona muda unazidi kwenda kimya nikauliza akaniambia mimba ilitoka mwezi wa 9. Sina uhakika ilitoka kweli au alitoa.

Nafikiri kwenda mahakamani kuiomba mahakama iombe taarifa kutoka hosp iliyomhudumia (amesema alikwenda hosp ya serikali) ili nijiridhishe kutoka kwa wataalamu waliomuhudumia kama kweli mimba ilitoka au alifanya abortion. Ikiwa alifanya abortion nakusudia kumshitaki.

Naomba msaada wa mawazo yenu nijue namna ya kushughulika na hili swala.

UPDATES: Kwanza asanteni wote mliotoa mawazo yenu ya kujenga na kusaidia. Wale wapuuzi of course endeleeni kuwa wapuuzi. Baada ya negotiations za pande mbili na kwa ushauri wa wakali niliyemtafuta physically, nimeamua kutoipursue hii issue.
 
Wapuuzi ndo wamekufungua akili uachane nayo
 
UPDATES: Kwanza asanteni wote mliotoa mawazo yenu ya kujenga na kusaidia. Wale wapuuzi of course endeleeni kuwa wapuuzi. Baada ya negotiations za pande mbili na kwa ushauri wa wakali niliyemtafuta physically, nimeamua kutoipursue hii issue.
We ni kichwa maji shukuru ume elimishwa humu
 
Back
Top Bottom