The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Michezo ya ccm hiyo kuelekea 24Kwa yaliyotrend ni doa sana kwa alichokiendea hija ni ibada kila muumini utamani kabla hajaondoka duniani angalau aipate nafasi hio.
Kupata kashfa kubwa kama ile si jambo la kusudio la kwenda kule.
Ukiamua kufanya ibada achana na maasi na sio huku unataka kule unataka.
Alienda kutrend views au kufanya ibada?
Mwijaku huyo sio mwingine kwani we humjui?Vijana wa daslamu ni Nan huyo?
Jomba unaiwaza sana CCMMichezo ya ccm hiyo kuelekea 24
Kujionyesha kwamba na wao wameenda kuhiji Macca n Madinakuna wanaokwenda hija kwa maana ya ibada, pia wapo wanaokwenda sababu wana uwezo wa kufanya hivyo na si kwa lengo kusudiwa la hija bali kwa kujionyesha (ria).
Sababu kamkamua sana dada yako alienyolewa nywele na kisuNa mnazidi kumpromote!
Kwani ukuona uzi kuhusu wanawake kulalamika kupingwa ndole kwenye hija .....ndiyo kazi ya waislamu wanafiki kama huyo wanarndq kushika makalio ya waarabuKwa yaliyotrend ni doa sana kwa alichokiendea hija ni ibada kila muumini utamani kabla hajaondoka duniani angalau aipate nafasi hio.
Kupata kashfa kubwa kama ile si jambo la kusudio la kwenda kule.
Ukiamua kufanya ibada achana na maasi na sio huku unataka kule unataka.
Alienda kutrend views au kufanya ibada?
Sijaona but sidhani uenda ni mambo ya AI hayoKwani ukuona uzi kuhusu wanawake kulalamika kupingwa ndole kwenye hija .....ndiyo kazi ya waislamu wanafiki kama huyo wanarndq kushika makalio ya waarabu
Tunampromote kuwa mzinzi!Na mnazidi kumpromote!
Alienda kumuombea mama😀😀Kwa yaliyotrend ni doa sana kwa alichokiendea hija ni ibada kila muumini utamani kabla hajaondoka duniani angalau aipate nafasi hio.
Kupata kashfa kubwa kama ile si jambo la kusudio la kwenda kule.
Ukiamua kufanya ibada achana na maasi na sio huku unataka kule unataka.
Alienda kutrend views au kufanya ibada?
Likely kabisa ile ni fabricated kuzima ujumbe wa pasakaSijaona but sidhani uenda ni mambo ya AI hayo