Katoka hija juzi tu Leo kanaswa kashfa ya uzinzi alienda hija kusaka views au ibada

Katoka hija juzi tu Leo kanaswa kashfa ya uzinzi alienda hija kusaka views au ibada

Hija ni kama Eneo la utalii wala halina Chochote chakufanya na Dhambi zako kama zipo Kweli, Waarabu wajanja sana waliona waingize Hija kama nguzo kuu ya Uislamu ili Waweze Kupata tourists all over the world kila Mwaka na Wana Generate alots of money kwa watalii kwenda pale
 
ni fara mmoja tu make wake anavaa vimini na suruali bikini hana dini yeyote,ila namuunga mkono kupeleka moto kama hela ikiwepo
 
Ila jf kuna watu wanafikiria nje ya box sana. Hili sikulifikiria kabisa. Na lina chembechembe za ukweli. Pennine limefanyika kutuhamisha mawazo
Ilipikwa vizuri tu One day before Pasaka, ooh sijui wamegombana kakatwa nywele.....hahaha movie ile. Ya manara ilipigwa 1week before pasaka.

Hata hivyo Ujumbe wa Mungu u eendelea kuwa upande wa ushindi. Wakajipange upya.
 
Kama hajatenda wakati wa ramadhani hajatenda dhambi yoyote. Ni ule mwezi tu ndo unaheshimiwa..
 
Kwani ukuona uzi kuhusu wanawake kulalamika kupingwa ndole kwenye hija .....ndiyo kazi ya waislamu wanafiki kama huyo wanarndq kushika makalio ya waarabu
wacha hiyo...kondoo wa bwana wanaliwa kila siku na mchungaji madhabauni watetee hao kwanza
 
Back
Top Bottom