Yule ni kichaaKwa yaliyotrend ni doa sana kwa alichokiendea hija ni ibada kila muumini utamani kabla hajaondoka duniani angalau aipate nafasi hio.
Kupata kashfa kubwa kama ile si jambo la kusudio la kwenda kule.
Ukiamua kufanya ibada achana na maasi na sio huku unataka kule unataka.
Alienda kutrend views au kufanya ibada?
Nikienda na Mimi nitaitwa Alhaji!Hija Mecca ni utalii tu, ukiwa na pesa hata wewe unaweza kwenda.
Ni tv za saudia zenyewe kwenye hija wanakwenda bila ya kuvaa chupi wala chochote ndaniSijaona but sidhani uenda ni mambo ya AI hayo
Ni mbewembe tu hizo.Nikienda na Mimi nitaitwa Alhaji!
Kwa hiyo mwijaku anaitwa Alhaji Burton Mwemba?Nikienda na Mimi nitaitwa Alhaji!
Hatari sana ilitakiwa wawatenganishe wanawake na wanaumeNi tv za saudia zenyewe kwenye hija wanakwenda bila ya kuvaa chupi wala chochote ndani
Wataalamu wanasema hakwenda hijanioa 'Imla' wqjuzibwa mambo tunaomba tofauti yakeKwa yaliyotrend ni doa sana kwa alichokiendea hija ni ibada kila muumini utamani kabla hajaondoka duniani angalau aipate nafasi hio.
Kupata kashfa kubwa kama ile si jambo la kusudio la kwenda kule.
Ukiamua kufanya ibada achana na maasi na sio huku unataka kule unataka.
Alienda kutrend views au kufanya ibada?
Kuna tofauti ya kwenda UMRA na KWENDA HIJA..?!Kwa yaliyotrend ni doa sana kwa alichokiendea hija ni ibada kila muumini utamani kabla hajaondoka duniani angalau aipate nafasi hio.
Kupata kashfa kubwa kama ile si jambo la kusudio la kwenda kule.
Ukiamua kufanya ibada achana na maasi na sio huku unataka kule unataka.
Alienda kutrend views au kufanya ibada?
Mawazo ya KI SULTANI SAYYED SAID 🤣🤣😂😂Nipo upande wa Mwijaku,mnaompigia kelele ninyii ni waaminifuu! Hamziniiii?,Kawaidaa vile vitoto unaviacheejee chuchuu saa6 inabanaa. Formula ipoo ivii kwa mwanaume makin, 1.Tafuta mke mwenye akili safii kwaajili ya wanao.2 ukilifanikisha la kwanza basii unajitizama wewe mwanaume unajipendelea kwa totos tamuuu🤣
Ila jf kuna watu wanafikiria nje ya box sana. Hili sikulifikiria kabisa. Na lina chembechembe za ukweli. Pennine limefanyika kutuhamisha mawazoLikely kabisa ile ni fabricated kuzima ujumbe wa pasaka
Macelebrity wa kibongo siku hizi ni kitengo cha propaganda TISS na CCM ili kushift public attention, ishu kama hii ya Mwijaku, Zaylisa na Manara na ndoa Jux zote ni cooked events, ukitazama kwa hicho la tatuLikely kabisa ile ni fabricated kuzima ujumbe wa pasaka