Katoka hija juzi tu Leo kanaswa kashfa ya uzinzi alienda hija kusaka views au ibada

Yule ni kichaa

Halafu waislamu wenyewe kimyaaaa
 
Janja ni kitengo

ni kama wasiojulikana wana imani zao, ila wanapewa order "Fanya kitu fulani" na wanafanya bila kujali kuwa dini zao haziruhusu
 
Wataalamu wanasema hakwenda hijanioa 'Imla' wqjuzibwa mambo tunaomba tofauti yake
 
Nipo upande wa Mwijaku,mnaompigia kelele ninyii ni waaminifuu! Hamziniiii?,Kawaidaa vile vitoto unaviacheejee chuchuu saa6 inabanaa. Formula ipoo ivii kwa mwanaume makin, 1.Tafuta mke mwenye akili safii kwaajili ya wanao.2 ukilifanikisha la kwanza basii unajitizama wewe mwanaume unajipendelea kwa totos tamuuu🤣
 
Kuna tofauti ya kwenda UMRA na KWENDA HIJA..?!

MWIJAKU ALIENDA UMRA sio hija.
 
Mimi Mme wa mtu tena mkee wangu Bright hatali afu katulia mnoo,ila vitoto vya 2000E navilaaa ,kikubwa simwoneshi zereuu live na natimiza mahitaji yake yaani first priority ni Familia,over. Wasio zini ndio wanastahili kumpiga mawe kichwa 🎁.
 
Mawazo ya KI SULTANI SAYYED SAID 🤣🤣😂😂
 
Anapenda sana kujipendekeza kwa waarabu, naona kashawishika kwenda umra kwa sababu yao.
Ila uzinzi pale pale
Alienda kutalii tu huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…