Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,614
- 9,689
Safii! Iko hivyoMacelebrity wa kibongo siku hizi ni kitengo cha propaganda TISS na CCM ili kushift public attention, ishu kama hii ya Mwijaku, Zaylisa na Manara na ndoa Jux zote ni cooked events, ukitazama kwa hicho la tatu
Hana dini huyo mke wake anavaa vibikini dini aitolee wapiJanja ni kitengo
ni kama wasiojulikana wana imani zao, ila wanapewa order "Fanya kitu fulani" na wanafanya bila kujali kuwa dini zao haziruhusu
Uko sahihi.....mapoyoyo tu ndio hawataelewaMacelebrity wa kibongo siku hizi ni kitengo cha propaganda TISS na CCM ili kushift public attention, ishu kama hii ya Mwijaku, Zaylisa na Manara na ndoa Jux zote ni cooked events, ukitazama kwa hicho la tatu
Ilipikwa vizuri tu One day before Pasaka, ooh sijui wamegombana kakatwa nywele.....hahaha movie ile. Ya manara ilipigwa 1week before pasaka.Ila jf kuna watu wanafikiria nje ya box sana. Hili sikulifikiria kabisa. Na lina chembechembe za ukweli. Pennine limefanyika kutuhamisha mawazo
😀😀😀Kwenye Uislamu, hiyo kashfa ni jambo la kawaida
Mawazo ya Muddy wetu🤣Mawazo ya KI SULTANI SAYYED SAID 🤣🤣😂😂
Ukiwa ambassador hutakiwi kuwa na skendo Kama hizo ☺️ 😊Mawazo ya Muddy wetu🤣
wacha hiyo...kondoo wa bwana wanaliwa kila siku na mchungaji madhabauni watetee hao kwanzaKwani ukuona uzi kuhusu wanawake kulalamika kupingwa ndole kwenye hija .....ndiyo kazi ya waislamu wanafiki kama huyo wanarndq kushika makalio ya waarabu