Pre GE2025 Katoliki na KKKT yawakataa Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia Uchaguzi, sasa inasubiriwa BAKWATA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mambo yakiendelea hivi na iwapo BAKWATA watapigilia msumari wa mwisho basi miswada ya sheria za Uchaguzi itabidi ikafanyiwe marekebisho Makubwa.

Hadi sasa Kanisa Moja Takatifu la Mitume na Kanisa la Kiinjili la Kilutheli yameshagoma DED kuwa Wasimamizi wa Uchaguzi.

Hata Mbuyu ulianza kama mchicha.

Ahsanteni sana. πŸ˜‚
 
wabarikiwa wa tec na bakwata wana tofauti gani?
 
Hutajawasikia katu.
 
Ni jambo jema
 
Wananchi woote na taasisi zote na wadau wa Demokrasia wamewakataa.....kwanini Dr Samia anangangania?
 
Wananchi woote na taasisi zote na wadau wa Demokrasia wamewakataa.....kwanini Dr Samia anangangania?
Hao TEC ni kikundi cha watu wachache hawafiki hamsini, na hawawezi kuwasemea waumini wao, na hawakutumwa wawasemee. Wamekurupuka na makarasi yao tu. Kama waumini waliwatuma, watuonyeshe saini zao kuunga mkono hoja hiyo.

Waumini wao wana uhuru wa maoni, na wamekubali wakurugenzi wasimamie uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…