lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,661
- 26,457
Vipi ile siku aliyopindua matokeo je🤪
Hii wala haikunishangaza, wote tulijua alikuwa na upande na hakuwa huru. Ila kitendo cha kuja kuchukua fomu ya kuwania kuteuliwa kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM kilinishangaza na kunisikitisha sana kama mtu ninayependa demokrasia.
Ilikuwa ni dharau ya hali ya juu sana kwa wazanzibari na wapenda demokrasia. Ulikuwa ni ubandidu wa hali ya juu sana.
Ilikuwa ni dharau ya hali ya juu sana kwa wazanzibari na wapenda demokrasia. Ulikuwa ni ubandidu wa hali ya juu sana.