Pre GE2025 Katoliki na KKKT yawakataa Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia Uchaguzi, sasa inasubiriwa BAKWATA

Pre GE2025 Katoliki na KKKT yawakataa Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia Uchaguzi, sasa inasubiriwa BAKWATA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mambo yakiendelea hivi na iwapo BAKWATA watapigilia msumari wa mwisho basi miswada ya sheria za Uchaguzi itabidi ikafanyiwe marekebisho Makubwa.

Hadi sasa Kanisa Moja Takatifu la Mitume na Kanisa la Kiinjili la Kilutheli yameshagoma DED kuwa Wasimamizi wa Uchaguzi.

Hata Mbuyu ulianza kama mchicha.

Ahsanteni sana. [emoji23]
Unazungumzia Bakwata ipi? kwenye makasheshe ya Nchi hii tangu mamaDuli awepo umewahi kusikia cha maana kutoka kwao?
 
MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS 2020 HAYAPO KATIKA GAZETI LA SERIKALI KWA SABABU UCHAGUZI ULIVURUGWA?

Kutokana na uchaguzi wa 2020 kuporwa, wameshindwa kuoanisha matokeo ya urais ili yatangazwe katika gazeti la serikali (gazetted). Watu wangestuka na kuona tofauti kubwa ya jumla ya kura za wabunge wote na zile za urais.


Maana kama wangekusanya matokeo ya urais kutoka kila jimbo na kuyajumuisha ni aibu tupu, jumla ya kura ya urais ingetofautiana sana kwa umbali mkubwa na jumla ya kura za walizopata wabunge wote.

N.B
More info :

UCHAGUZI MKUU WA 2020
Aidha, siku ya kupiga kura jumla ya wapiga kura 15,091,950 sawa na asilimia 50.72 walijitokeza kupiga kura kati ya wapiga kura 29,754,699 walioandikishwa. Kura halali zilikuwa 14,830,195 sawa na asilimia 98.27 ya kura zote zilizopigwa na kura zilizokataliwa
zilikuwa 261,755 sawa na asilimia 1.73 ya kura zote zilizopigwa.
Mheshimiwa Rais,
Kwa ujumla, Tume iliendesha uchaguzi mkuu katika hali ya amani na utulivu. Mafanikio
hayo yalitokana na maandalizi yaliyofanywa kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu.
Tume pia ilipata ushirikiano wa kutosha kutoka kwa wadau mbalimbali wa uchaguzi.
Mheshimiwa Rais,
Baada ya uchaguzi mkuu kukamilika, Tume imeandaa taarifa inayoelezea namna mchakato wa uchaguzi ulivyofanyika.
Kwa heshima na taadhima, Tume inaomba kuwasilisha kwako Taarifa ya Uchaguzi wa
Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2020.
xv
…………………………………………
Jaji Rufaa (Mst.) Semistocles S. Kaijage
Mwenyekiti
…………………………..………….
Jaji (Mst.) Mary H. C. S. Longway
Mjumbe
........................................
Asina A. Omari
Mjumbe
…………………………..………….
Jaji (Mst.) Thomas B. Mihayo
Mjumbe
…………………………..………….
Dkt. Wilson Mahera Charles
Mkurugenzi wa Uchaguzi


View: https://m.youtube.com/watch?v=e3Grxxco7hQ

Hivyo ni muhimu uchaguzi wa rais kuhojiwa mahakama kuu, na kuwepo takwa la lazima kuoanisha kura za ujumla za wabunge na urais ili uoanishi huu kuwa njia (tool) mojawapo ya kuibana Tume Huru ya Uchaguzi na wasimamizi wa uchaguzi kufanya kazi yao sawa sawa.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi
https://www.nec.go.tz › publications
Matokeo ya Uchaguzi Mkuu

Matokeo ya Uchaguzi wa Rais na Wabunge wa mwaka 2020 Pakua · Wabunge Wanawake Walioteuliwa Viti Maalum Uchaguzi Mkuu ....

Tume ya Taifa ya Uchaguzi
https://www.nec.go.tz › 1630...PDF
TAARIFA YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI ...

View attachment 2866109
Haki zote zimehifadhiwa, hairuhusiwi kuiga, kunakili au kutoa kitabu hiki kwa njia
 
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania BAKWATA ni chombo kilicho na wanazuoni wengi wasomi na wenye uelewa mkubwa kuhusu elimu duniya mbali na ilm ya imani.

Chombo hiki cha BAKWATA ndiyo tegemeo kwa kuweza kuchambua masuala ya sekula ya kama haki katika mahakama za ku- secular , mfumo wa demokrasia na mchakato sahihi wa uchaguzi

Mfano wa wanazuoni wengi wasomi waliojazana BBAKWATA ni pamoja :


Dar es Salaam, Tanzania

SHEIKH ABUU IDDI

1704813677191.png


Sheikh Abuu Iddi ambaye ni Msaidizi na mshauri wa Mufti wa Tanzania.

Sheikh Abuu Iddi CV (wasifu) yake imesheheni nyadhifa kadha wa kadha ktk utumishi kwa dini na jamii kwani yeye ni imamu mkuu msikiti wa Masjid Mnyamani Buguruni jijini Dar es Salaam.

Pia kwa miaka 16 amekuwa akiendesha kipindi ktk kituo cha televisheni cha Channel Ten kutoa daawa na darsa, mratibu Al Risala Foundation, Mratibu wa Kudumisha Amani katika mkoa wa Dar es Salaam, Mwandishi wa kitabu kinachokwenda kwa jina Misingi 15 ya amani, mwandishi wa makala katika gazeti kubwa la Mwananchi pia ni Mshauri wa dini na jamii wa Mufti Mkuu wa Tanzania.
 
Hao TEC ni kikundi cha watu wachache hawafiki hamsini, na hawawezi kuwasemea waumini wao, na hawakutumwa wawasemee. Wamekurupuka na makarasi yao tu. Kama waumini waliwatuma, watuonyeshe saini zao kuunga mkono hoja hiyo.

Waumini wao wana uhuru wa maoni, na wamekubali wakurugenzi wasimamie uchaguzi.
Toa sababu ni kwa nini Tec haiwezi kuwasemea waumini wao.
 
Jambo la muhimu ni kuangalia hoja kama ina mantiki au la na wala siyo kuangalia nani kaitoa.
Pia majibu yawe kwa hoja yenye nguvu na mantiki zaidi.
Changamoto inaanza pale ambapo Rais Magufuli alipoteua makada (tena wale waliogombea wakashindwa) kuwa wakurugenzi.
Ikumbukwe kuwa wakurugenzi ni watumishi wa Uma ambao kimaadili hawatakiwi kuegemea chama chochote cha siasa kwa uwazi (political neutrality).
Katika demokrasia ya vyama vingi, watu wenye akili za kawaida hawawezi kufumbia macho hali hiyo katika kutoa maoni.
Hata kipofu, kama unakula naye kwenye sahani moja ukimshika mkono, hatanyamaza au kutulia.
 
Kigogo mwingine ndani ya BAKWATA mwenye mawazo huru na ushawishi mkubwa kudai mabadiliko katika jamii

Alhaj sheikh Musa Kundecha

1704815212266.png


Toka maktaba :
Classified By: Deputy Chief of Mission D. Purnell Delly for reasons 1.4 (b) and (d). 1. (S) Per reftel, Post submits the name of Sheikh Musa Kundecha as a person of great credibility and influence in the Muslim community of Tanzania who offers an alternative view to Islamic extremism.

2. (SBU) Sheikh Musa Kundecha is a charismatic, populist leader working to improve the lives of ordinary Tanzanians. His ideology is built on the concept that people who have food, security, work, and basic resources will live peaceful lives, and not succumb to extremism. Kundecha has publicly stated that Tanzanian Muslims should reject the jihadist messages originating in the middle east and southeast Asia, and ensure that the violence plaguing those regions does not infiltrate Tanzania.

He is strongly opposed to violence and extremism as forms of jihad, preaching that such violence creates chaos, worsens poverty, and leads to government oppression of Muslims.

3. (C) Kundecha has proven to be "thorn in the side" of the Government of Tanzania, frequently agitating for the GOT to do more to provide basic services such as water, roads, and healthcare. His promotion of themes of anti-corruption and good governance, as well as his calling on the government to curb wasteful spending, have angered some within the GOT. However, these themes form an integral part of his message of poverty alleviation. Post is not aware that Kundecha has any enemies other than politicians he may have irritated.

4. (SBU) In furtherance of his desire to alleviate poverty, Kundecha has established a primary school and two vocational centers providing training in tailoring, computers, machinery, and bookkeeping. Kundecha has traveled throughout Tanzania carrying his message, and has been warmly received across the country. His audience is comprised primarily of Muslims of humble means (which includes most Tanzanian Muslims), and he has the potential to have great influence within this group. Kundecha is an excellent public speaker, and his primary forums are mosques and religious gatherings. Post is not aware that he has traveled extensively or focused his message outside of Tanzania.

5. (SBU) Kundecha is a Sunni Muslim, and is the head of the Shura Council of Imams in Tanzania. He is 45 years old, has two wives and three young children, and resides in Dar es Salaam. Kundecha is a native Tanzanian of African ethnicity (tribal group unknown). He speaks Swahili and very good English, although he appears more comfortable using a translator when conversing with English speakers. 6. (S) Kundecha is reportedly critical of U.S. policy in Iraq, but he is not otherwise critical of the U.S. His message is directed at a domestic audience, and he appears largely unconcerned with foreign affairs. However, during the 2006 Israel-Lebanon conflict, Kundecha was approached by the Iranian Embassy in Dar es Salaam to support a rally of his followers against Israel. He agreed, in exchange for Iranian financial support of his charitable programs. Post's perception is that while Kundecha does not trust the Iranians, he is highly practical.

7. (S) Post has not approached Kundecha regarding support for any joint endeavor. Post's Office of Regional Affairs has had limited contact with Kundecha. Kundecha may shy away from U.S. contact out of disinterest or a concern that such an association would damage his credibility. If he is contacted, he will likely seek support for his charitable endeavors. As such, an expression of interest in his programs appears an ideal means for approaching Kundecha
 
Ulisikia wapi BAKWATA wakafanya tofauti na Serekali hawawezi kwenda njia moja na TEC yaan hao wawili ni km Chui na Paka hawafanani kimisimamo
Hawafanan kimisimamo au kielimu?!
 
Sheikh Musa Kundecha mwanazuoni mwanaharakati

Sheikh Mussa Kundecha asimulia kashikashi nyingi alizopitia akiwa mwanaharakati Tanzania

View: https://m.youtube.com/watch?v=rDaa_3GLI2Y&

Kiongozi wa Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu asimulia jinsi alivyopewa kesi ya mauaji baada ya kutoafikiana na Polisi waliolazimisha aongee mbele ya vyombo vya habari kituo cha Polisi awaombe Waislamu waliokuwa na mpango wa kuandamana wasifanye hivyo. ...

Wakati huo Polisi Dar es Salaam mkuu wa upelelezi mkoa ni RCO Abdallah Zombe anaongoza .... nikatupwa selo asubuhi mahakamani nikasomewa kesi ya mauaji ya watu wawili kwa risasi mmoja askari polisi na mwingine raia, kutoka hapo nikapelekwa rumande Segerea miezi 6 ....

Kuhusu siasa Sheikh Mussa Kundecha anasema huwezi tenganisha siasa na dini.

Upande wa elimu anaelezea umuhimu wa suala hilo ... nilisoma Tabora kisha kwenda nje Burundi, Kenya, Saudi Arabia kuongeza elimu nikarudi Tanzania nikafundisha Tabora, Arusha na Dar es Salaam mitaa wa Kiungi Magomeni pia Kinondoni Mkwajuni na msikiti wa Kichangani Magomeni.

Mihadhara ya MwembeChai iliyoshamiri kuanzia mwaka 1994 hadi 1997 jijini Dar es Salaam iliniletea matatizo miaka hiyo ikiongozwa na kina sheikh Mazinge na wengine ...

Pia nilifanya kazi ya kuunganisha waislamu ambao ni wasomi (professionals) wa elimu pana ya kisecular na masheikh wa wanaotoa elimu ya dini, kwani makundi haya mawili yaani professionals wa kiislamu waliona masheikh wao hawana ufahamu wa masomo ya elimu ya secular huku pia masheikh wakiona waislamu wasomi kuwa hawana ufahamu wa dini yao.

Harakati hizi zimeleta mafanikio kuna misikiti zaidi ya 3,000 na huku kuna shule zaidi ya 300 za waislamu kutokana na kuunganisha nguvu za waislamu ....

Mussa Kundecha anaulizwa sheikh ni nani hasa ... pamoja ya kuwa sheikh ni kama inatumika kuonesha kuwa ni mtu mzima isipokuwa katika utaratibu ....

Sheikh Mussa Kundecha akiangalia mbele kuhusu kupata elimu ya dini, anashukuru kuwa mazingira yanazidi kuwa mazuri vitabu vipo vingi tofauti na zamani hapa Tanzania kilikuwapo kitabu kimoja cha Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy .. sasa kuna vingi zaidi ...

Kuhusu BAKWATA - Baraza Kuu La Waislamu Tanzania kutokubaliwa na baadhi ya waislamu, Sheikh Mussa Kundecha anasema kila mmoja ana nafasi yake hivyo ...

Wateja wengi wa Islamic Banking Tanzania ni wale wasio waislamu na wamewapita kwa idadi kubwa huku waislamu wakiwa wachache hivyo ni jambo jema la kijamii kwa wasio waislamu kuwa wengi sana kwa idadi ktk Benki za Kiislamu ...anabainisha Sheikh Kundecha..
 
Bakwata kuitetea serikali siyo wanapenda ni mfumo unaowaunganisha na serikali ie uteuzi wa Mufti nk. ila this time wajitahidi kuwa upande wa wananchi na maslahi mapana ya nchi. watatutendea haki na heshima yao italindwa.
 
Hao TEC ni kikundi cha watu wachache hawafiki hamsini, na hawawezi kuwasemea waumini wao, na hawakutumwa wawasemee. Wamekurupuka na makarasi yao tu. Kama waumini waliwatuma, watuonyeshe saini zao kuunga mkono hoja hiyo.

Waumini wao wana uhuru wa maoni, na wamekubali wakurugenzi wasimamie uchaguzi.
Wewe kafiri usijefanye mkatoliki. Take your time
 
wabarikiwa wa tec na bakwata wana tofauti gani?
Ina maana wewe huwakilishwi na BAKWATA? Wewe ni wale wanaoitwa siasa kali? Wenzio huko Iran, karibuni wameleta maafa makubwa, tena dhidi ya wenzao wafuasi wa mtume!!

Wote mnasema ni wafuasi wa mtume, wote mnasema ni wafuasi wa dini ya haki, na huko kulipuana ni maelekezo ya mtume? Huko kuwaua wengine nako ni sehemu ya haki?
 
Mambo yakiendelea hivi na iwapo BAKWATA watapigilia msumari wa mwisho basi miswada ya sheria za Uchaguzi itabidi ikafanyiwe marekebisho Makubwa.

Hadi sasa Kanisa Moja Takatifu la Mitume na Kanisa la Kiinjili la Kilutheli yameshagoma DED kuwa Wasimamizi wa Uchaguzi.

Hata Mbuyu ulianza kama mchicha.

Ahsanteni sana. 😂
Sasa hapa "WANAFIKI" tutawajua...
 
Back
Top Bottom