G - The Apostle
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 599
- 1,125
Kwahiyo chombo chenu maamuma kinachoratibu masahla yenu ni kipi?wabarikiwa wa tec na bakwata wana tofauti gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo chombo chenu maamuma kinachoratibu masahla yenu ni kipi?wabarikiwa wa tec na bakwata wana tofauti gani?
Bakwata hii hii tawi la CCM?Mambo yakiendelea hivi na iwapo BAKWATA watapigilia msumari wa mwisho basi miswada ya sheria za Uchaguzi itabidi ikafanyiwe marekebisho Makubwa.
Hadi sasa Kanisa Moja Takatifu la Mitume na Kanisa la Kiinjili la Kilutheli yameshagoma DED kuwa Wasimamizi wa Uchaguzi.
Hata Mbuyu ulianza kama mchicha.
Ahsanteni sana. 😂
Niliwapigia kuraAcha ujinga mkuu. Pale bungeni hawafiki hata watu 500 wanawakilisha mawazo ya watanzania milioni 60+.
Ulishawahi weka sahihi yako?
BAKWATA hii hii ya Abubakar Zuber Bin Ally ama ?Mambo yakiendelea hivi na iwapo BAKWATA watapigilia msumari wa mwisho basi miswada ya sheria za Uchaguzi itabidi ikafanyiwe marekebisho Makubwa.
Hawawezi kumuangusha mtu wao ......!!Ngoja tuone
Tunasubiri tamko la bakwata dada yangu kipenziwabarikiwa wa tec na bakwata wana tofauti gani?