Katoliki na Walokole ndio walio wengi nchini kuliko madhehebu mengine ya Dini mbalimbali hivyo wajiepushe na Siasa!

Ni ushauri tu katika kudumisha Amani na Upendo kwa wananchi wote

Ahsanteni sana

Mlale unono [emoji16]
ROMA LOCUTA CAUSA Finita

Hiyo kauli hapo juu ndiyo mwisho ,likisemwa limesemwa

The cathlic church has spoken ,No one can go against the catholic church

Katoliki Papa au Askofu akisema ndio mwisho hiyo kama hutaki hama dini

Mbona Martin luther alikimbia

Kama ujumbe ni mgumu na wewe ni mkatoliki unaruhusiwa kuhama dini

Ujumbe ulishatolewa na Askofu wa Tec hivyo kwa wakatoliki wanajua nani anaharibu Amani lisu anayetaka mabadiliko au wale wanaotumia nguvu
 
Angekuwa kkkt huyo 'lopolopo' wenu mngemkingia kifua namna hiyo...?tuiache mahakama itende haki
 
pasaka imeingiliwa na matamko ya kisiasa

ingependeza vyombo vya usalama viachwe vifanye majukumu yake ambayo kimsingi yana afya kwa taifa
 
ROMA LOCUTA CAUSA Finita

Hiyo kauli hapo juu ndiyo mwisho ,likisemwa limesemwa

The cathlic church has spoken ,No one can go against the catholic church

Katoliki Papa au Askofu akisema ndio mwisho hiyo kama hutaki hama dini

Mbona Martin luther alikimbia

Kama ujumbe ni mgumu na wewe ni mkatoliki unaruhusiwa kuhama dini

Ujumbe ulishatolewa na Askofu wa Tec hivyo kwa wakatoliki wanajua nani anaharibu Amani lisu anayetaka mabadiliko au wale wanaotumia nguvu

Ila CCM haikuwasikiliza kwenye ishu ya bandari.
 
Wapentekoste huwa hawajihusishi kutoa matamko ya kisiasa. Lini umesikia maaskofu wa FPCT, TAG, EAGT au umoja wao wa CPTC wametoa warakaka wa kisiasa?
 
Duh! Kama wapentekoste nao wamekuwa wengi nchi hii basi upentekoste umekua, maana huko nyuma ilikuwa ni kundi dogo kuliko yote
 
Back
Top Bottom