Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,946
- 4,592
Ok,,tuliwaachia vitekeleze majukumu yake sasa mbona hatuoni matokeo ya waliotekwa na kuuwawa? Eg saanane, Lisu, kibao nkpasaka imeingiliwa na matamko ya kisiasa
ingependeza vyombo vya usalama viachwe vifanye majukumu yake ambayo kimsingi yana afya kwa taifa
mjomba hata reforms nayo ni usalama wa nchi fahamu hilopasaka imeingiliwa na matamko ya kisiasa
ingependeza vyombo vya usalama viachwe vifanye majukumu yake ambayo kimsingi yana afya kwa taifa
Magufuli si alikuwa mkatoliki lakini wakati wa korona alipigwa spana na kanisa na kuambiwa ukweli korona ipo na watu wanakufaAngekuwa kkkt huyo 'lopolopo' wenu mngemkingia kifua namna hiyo...?tuiache mahakama itende haki
Peleka mwanao shule,Kwa akili kama hizi zako wewe huwezi kuelewa mafundisho ya kikatoliki na siasa za nchi hiiwingi si kitu ikiwa ndani yao hakuna ustaarabu ni uropokaji tupu,
inakua ni nonsense tu [emoji205]
Mkuu kama una watoto ,Kanisa lilitimiza wajibuIla CCM haikuwasikiliza kwenye ishu ya bandari.
Ulipopotea tulipumzika na hivi vimada vyako vya kipuuzi.. Sasa umerudi tenaπ‘π‘π‘π‘Ni ushauri tu katika kudumisha Amani na Upendo kwa wananchi wote
Ahsanteni sana
Mlale unono π
Nakuona mtakwimu mkuu Albina Chuwa ila lini ulifanya sensa ya dini meku?Ni ushauri tu katika kudumisha Amani na Upendo kwa wananchi wote
Ahsanteni sana
Mlale unono π
Kawashauri ccm waache kukandamiza Demokrasia, waache kuwatuma Polisiccm kuwabambikia kesi za Uhaini kwa njia haramu za kishetani, wambie Bakwataccm waache unafiki watetee haki waache kutetea ushetani wa ccmNi ushauri tu katika kudumisha Amani na Upendo kwa wananchi wote
Ahsanteni sana
Mlale unono π
Kuna mtu amekuzuia kwenda kufanya kazi? Haki ipi unaida? Pumbav kafanye kaziMbona mnakimbilia kusema amani wakati hamtendi haki? mtapataje amani bila kutenda haki?
Mfano wajibu gani tutimize ili tupate tume huru ya uchaguzi?.Haki inapatikana kwa Wajibu
Issue sio mahakama hapa, issue ni kwa waliomkamata na kumtengenezea mashitaka ya uhaini kisa yupo kinyume na na chama cha CCMAngekuwa kkkt huyo 'lopolopo' wenu mngemkingia kifua namna hiyo...?tuiache mahakama itende haki
Wakati Viongozi wanatumia mwanya wa Amani kuiba kuraNi ushauri tu katika kudumisha Amani na Upendo kwa wananchi wote
Ahsanteni sana
Mlale unono π
Nipp sana bwasheeUlipopotea tulipumzika na hivi vimada vyako vya kipuuzi.. Sasa umerudi tenaπ‘π‘π‘π‘
Viongozi wa dini wakiisifia serikali mnakaa kimya, ila wakiishauri serikali kuacha kutumia mifumo kandamizi ya uchaguzi mnatoa hadi mapovu tena eti onyo Kali wakati ujumbe umeshawafikia wananchiNi ushauri tu katika kudumisha Amani na Upendo kwa wananchi wote
Ahsanteni sana
Mlale unono π
Na "wamelelewa" kweli.Viongozi wa dini wakiisifia serikali mnakaa kimya, ila wakiishauri serikali kuacha kutumia mifumo kandamizi ya uchaguzi mnatoa hadi mapovu tena eti onyo Kali wakati ujumbe umeshawafikia wananchi
Message sent and delivered and read between lines
Yaani ujumbe umeshawafikia wananchi na wamelelewa
Silence surrenders public responsibilities
Huyu kaja huku eti kutusafisha ubongo tufikiri anavyotaka yeyeNa "wamelelewa" kweli.
Kwahiyo wao wanyamaze ile kakikundi kadogo kanako linyonya taifa kaendelee tu ama ipi maana yako,je wewe ni sehemu ya hako kakikundi kanakopinga mageuzi yenye manufaa kwa taifa na watu wake?Ni ushauri tu katika kudumisha Amani na Upendo kwa wananchi wote
Ahsanteni sana
Mlale unono π