Katoto kenyewe kabaya, kaache kafe

Kama utunzi mwanangu unaujua. Muhimu tafuta mchapishaji ili wengi wajifunze tokana na huo utunzi wako. Kama ulifanya kweli, naona umejifunza na sasa unafundisha. Shukrani mwanangu.
 
Hili andiko lina funzo kubwa sana
 
Stori inafunza kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…