Katuni hii Ina utamu wake, nimeielewa Sanaa!

Katuni hii Ina utamu wake, nimeielewa Sanaa!

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Screenshot_20230311-135139_1.jpg
 
Unajua nn

Vaz la CCM ndio limefunika sehemu za siri zisionekane

Kwa hyo Siri zote nyet ztabak chin ya CCM huko kwingne hao WAZALENDO NA CHADEMA watahangaika nako

Kifup Siri za nch ndio uti wa mgongo wa nch ulipo CCM wataongoza nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo maana yake Mama anaongoza kwa kutumia Akili kubwa kutoka Chadema ndo ushungi kavaa kichwani that all
 
Hi imecholwa na mtu asiyejua maana! Mwenye akili za kushikiwa. Kama Samia angeliendeleza ufidhuli wa magufuli angelichora nini? Mmetoka kuuawa, kutekwa, kufungwa , kupotezwa, kufunguliwa kesi za michongo etc etc, kaja mtu kasema njoo turidhiane, tuache uhasama, tujadili mnayoyataka, mwenye akili hawezi chora mavi kama haya! Erythrocyte
 
Unajua nn

Vaz la CCM ndio limefunika sehemu za siri zisionekane

Kwa hyo Siri zote nyet ztabak chin ya CCM huko kwingne hao WAZALENDO NA CHADEMA watahangaika nako

Kifup Siri za nch ndio uti wa mgongo wa nch ulipo CCM wataongoza nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Siri zinakaa kichwani sio uuuuchini
 
Muhusika mkuu akitolewa kwenye hicho cheo maafikiano yote yanaporomoka. Hatima ya asali ipo kwa huyo jamaa hapo pembeni
 
Muhusika mkuu akitolewa kwenye hicho cheo maafikiano yote yanaporomoka. Hatima ya asali ipo kwa huyo jamaa hapo pembeni
 
Mimi nilichielewa pamoja na mambo yote ila anapeperusha bendera ya Kijani (CCM).
 
Wahafidhina na sukumagang, bado hawataki kabisa kusikia huo wimbo unaoitwa maridhiano.
 
Back
Top Bottom