Katuni ya BoT: Utajiri wa kweli siyo kumwaga pesa chini, inabidi uithamini kama tunu ya Taifa

Katuni ya BoT: Utajiri wa kweli siyo kumwaga pesa chini, inabidi uithamini kama tunu ya Taifa

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
1784222188315.png

Wakuu hii Katuni iliyopostiwa na Bot inasema kuwa kumwaga pesa chini siyo njia ya kuonesha kuwa nazo ila inabidi kuithamini kwani ni tunu ya Taifa, na mtu akitaka kutunza aziweke kwenye chombo maalumu kilichoandaliwa
 
View attachment 3630530
Wakuu hii Katuni iliyopostiwa na Bot inasema kuwa kumwaga pesa chini siyo njia ya kuonesha kuwa nazo ila inabidi kuithamini kwani ni tunu ya Taifa, na mtu akitaka kutunza aziweke kwenye chombo maalumu kilichoandaliwa
NIambiwe na gharama ya tangazo lenyewe,o
Isije kuwa kuna fisadi mmoja kajichukulia bln 800 kwa kijitangazo hicho tu!
 
Ukweli ni kwamba Tshillings inazidi kushuka thamani ndiyo maana bilioni inatajwa kama tu,ingekuwa na thamani hata milioni moja isingetajwa kirahisi.
 
Back
Top Bottom