Katuni ya Simpsons Ilitabiri Kamala kuwa Rais wa Kwanza wa Kike mwaka 2024 tunasuburi Utabiri Utimie

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
11,622
Reaction score
26,005
March, 19-2000. TV show THE SIMPSONS wali'release SEASON 11

S0 11, Episode ya 17 "BART TO THE FUTURE" ilionyesha RAIS mwanamke akiongoza USA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ

Scenes zinaonesha characters waliopo sasa kina KAMALA, na TRUMP

Hmm! wanajarbu kutwambia nini?๐Ÿค”

Yani Series ya mwaka aftisa mia huko wakaigiza mambo yanayotokea leo!!๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ

Kuna kitu hakipo sawa, Ila Ipo siku hata kama nitakuwa nimekufa Kitakuwa wazi..

Waliwahi Kutabiri Pia URais wa Trump na Pia Urais wa Obama





KIPANDE CHA video hili hapa .. Na ikumbukwe Hii Series ni Miaka ya 1990s mpaka 2000
Your browser is not able to display this video.
 
Na Mp

Vipi , Mpaka Leo Bado ipo ?
Bado Inatabiri ?
 
Duh!
 
Alisema na mwaka ?
Hapana Mwaka Huwa hasemi!
Alipotabiri Kuhusu Corona hakusema Mwaka pia, Alipotabiri Kuhusu Obama hakusema mwaka , alipotabiri Kuhusu Ile ajali ya Bilionea kwenye Nyambizi ya Majini hakusema mwaka, Alipotabiri Kuhusu Trump Kushinda na Kampeni yake ya Maje america Great again hakusema Mwaka!

Alipotabiri kuhusu Perfomance ya Lady gaga hakutaja mwaka..
Ila kutokana na matukio Rangi ya mavazi na mfuatano wa matukio utagundua hasa ni lini..

Tafuta Hiyi series Ipo Mtandaoni na utajionea mwenywe
 
Trump anashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ