Katuni ya Simpsons Ilitabiri Kamala kuwa Rais wa Kwanza wa Kike mwaka 2024 tunasuburi Utabiri Utimie

Mkuu usishangae hii Dunia inaendeshwa na nguvu nyingine, kuna katuni ya miaka mingi ilishaonyesha Trump kupigwa risasi ya sikio wakati wa kampeni, tena imetaja jina kabisa Trump, niliona kwenye somo la dalili za kurudi kwa Yesu by Isaac Javan, mle kilakitu tunachoona kinafanyika Sasa vilishatengenezewa movies miaka mingi iliyopita
Kwamba wapo walisafiri mbele ya muda?
 
Mkuu usishangae hii Dunia inaendeshwa na nguvu nyingine, kuna katuni ya miaka mingi ilishaonyesha Trump kupigwa risasi ya sikio wakati wa kampeni, tena imetaja jina kabisa Trump, niliona kwenye somo la dalili za kurudi kwa Yesu by Isaac Javan, mle kilakitu tunachoona kinafanyika Sasa vilishatengenezewa movies miaka mingi iliyopita
Hiyo katuni unayosema Ndo hiyo Simpsons Mkuu!
Ndo hiyo Iliyoonyesha mpaka Trump.anakula Shaba
 
Huwa hawatabiri, The Matrix huwa wanakuonesha kile walichopanga kupitia vitu vinavyodharaulika na watu kama hizo katuni.
Watu wengi wameanza kuishtukia The Simpsons kuanzia miaka ya 2015, kabla ya hapo walikuwa wanaidharau sana
Yeah Ni kweli kabisa kwanza ilikuwa na Muonekano mbaya so wengi hawakuwa wanaifatilia Miaka ya nyuma
 
March, 19-2000. TV show THE SIMPSONS wali'release SEASON 11

S0 11, Episode ya 17 "BART TO THE FUTURE" ilionyesha RAIS mwanamke akiongoza USA 🇺🇸

Scenes zinaonesha characters waliopo sasa kina KAMALA, na TRUMP

Hmm! wanajarbu kutwambia nini?🤔

Yani Series ya mwaka aftisa mia huko wakaigiza mambo yanayotokea leo!!😳😳

Kuna kitu hakipo sawa, Ila Ipo siku hata kama nitakuwa nimekufa Kitakuwa wazi..

Waliwahi Kutabiri Pia URais wa Trump na Pia Urais wa Obama

View attachment 3141766
View attachment 3141767View attachment 3141769

KIPANDE CHA video hili hapa .. Na ikumbukwe Hii Series ni Miaka ya 1990s mpaka 2000
View attachment 3141772
Mbona Trump siyo rais wa sasa? Hiyo ku-inherit badget haina uhasilia. Pia kuwa na rais mwanamke in the future huo siyo utabiri bali ni uhalisia. Dunia ina jinsia mbili tu, hivyo lazima itatokea miaka jinsia ya pili itashika madaraka.
 
Wamarekani wao ni wataalamu wa afya ya akili, wao pia ni wacheza movie maarufu vile vile usisahau.
 
Mbona Trump siyo rais wa sasa? Hiyo ku-inherit badget haina uhasilia. Pia kuwa na rais mwanamke in the future huo siyo utabiri bali ni uhalisia. Dunia ina jinsia mbili tu, hivyo lazima itatokea miaka jinsia ya pili itashika madaraka.
Umeangalia Costomes za Huyo rais na Hizo za Katuni kuanzia Kuongea Mapozi na Pia hata Uvaazi wa cheni na Hereni na Rangi ya Nguo??

Marekani mpaka Leo wanaamini kwamba Aliyefanya Dollar Ikashuka na uchumi ukaanguka Ni trump baada ya Kuachiwa Urais na Obama aliharibu
 
Back
Top Bottom