Katuni ya Simpsons Ilitabiri Kamala kuwa Rais wa Kwanza wa Kike mwaka 2024 tunasuburi Utabiri Utimie

Kwamba wapo walisafiri mbele ya muda?
 
Hiyo katuni unayosema Ndo hiyo Simpsons Mkuu!
Ndo hiyo Iliyoonyesha mpaka Trump.anakula Shaba
 
Huwa hawatabiri, The Matrix huwa wanakuonesha kile walichopanga kupitia vitu vinavyodharaulika na watu kama hizo katuni.
Watu wengi wameanza kuishtukia The Simpsons kuanzia miaka ya 2015, kabla ya hapo walikuwa wanaidharau sana
Yeah Ni kweli kabisa kwanza ilikuwa na Muonekano mbaya so wengi hawakuwa wanaifatilia Miaka ya nyuma
 
Mbona Trump siyo rais wa sasa? Hiyo ku-inherit badget haina uhasilia. Pia kuwa na rais mwanamke in the future huo siyo utabiri bali ni uhalisia. Dunia ina jinsia mbili tu, hivyo lazima itatokea miaka jinsia ya pili itashika madaraka.
 
Wamarekani wao ni wataalamu wa afya ya akili, wao pia ni wacheza movie maarufu vile vile usisahau.
 
Mbona Trump siyo rais wa sasa? Hiyo ku-inherit badget haina uhasilia. Pia kuwa na rais mwanamke in the future huo siyo utabiri bali ni uhalisia. Dunia ina jinsia mbili tu, hivyo lazima itatokea miaka jinsia ya pili itashika madaraka.
Umeangalia Costomes za Huyo rais na Hizo za Katuni kuanzia Kuongea Mapozi na Pia hata Uvaazi wa cheni na Hereni na Rangi ya Nguo??

Marekani mpaka Leo wanaamini kwamba Aliyefanya Dollar Ikashuka na uchumi ukaanguka Ni trump baada ya Kuachiwa Urais na Obama aliharibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…