Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Hapo ni kuwa wana ccm wameamua kumuwachia mwenye chama maana wamechoka na yanayotokea chini yake

Anakivuruga tu, mwisho wake atakuwa kiongozi wa kwanza mkimbizi nje ya nchi, maana kwenye chama hawatamtaka, na pia serikalini hawatamhitaji.
 
Sembuse anao ndugu zake wa damu kila pembe ya nchi yetu
Anakivuruga tu, mwisho wake atakuwa kiongozi wa kwanza mkimbizi nje ya nchi, maana kwenye chama hawatamtaka, na pia serikalini hawatamhitaji.
 
Juzi kina makamba na kinana walipost picha za chumba Masaki, waliiibia chadema kura zake za uraisi, chadema walishinda kwa kishindo
Inasikitisha sana kujua kuwa kumbe ushindi ule alikuwa wa wizi na hiyo ni dhuluma kubwa sana. Watu wamesimama kutwa nzima kisha kura zao zinaibiwa na sasa wezi wa kura sana Tena watu, wanashambulia kwa risasi, wakipata tetemeko wanadhihakiwa hadharani na hao wezi wa kura, wanakatazwa kukusanyika kikatiba lakini hao wezi wanakutana na mengi tuu!
Niachie hapo maana hasira zinapanda
 
Punguza hasira mkuu ili tuendelee kushuhudia kifo cha ccm

Nimeamini vijana wa Tanzania ni mazwazwa sana. Mnapelekwa na upepo wa mtu mmoja tu. Hamna akili ya kufikiri kazi ni umbea tu. Tambueni ni mengi mnaongea lakini hakuna linalotimia, mnajipa matumaini hewa. Nchi au CCM sio mtu mmoja ila ni taasisi inayolindwa na zaidi ya ujuavyo. Endeleeni kujifariji, sisi tunacheeeeeeekaaaaa
 
Hapana mkuu, hamna kitu kibaya kama mtu anakuibia kisha anakufanya fala, anakuonea na kukudharau.
Kuna tofauti gani na mtu anayechezea mkeo kisha akakudhihaki kwa sababu OCD au OCS ni mjomba wake?
 
Ukiona mchoro una majibu rahisi ya kuattack upande mmoja basi hapo kazi ya sanaa imefeli
Akili kubwa sana imetumika hapo.
Wengi wanaitazama hiyo katuni kujifurahisha... kuna ujumbe mzito sana na wenye kutafakarisha katika mchoro huo..
 
Kujipa matumaini ni jambo la muhimu sana ndiyo maana kuna msemo unaosema...ISHI KWA MATUMAINI...
Nimeamini vijana wa Tanzania ni mazwazwa sana. Mnapelekwa na upepo wa mtu mmoja tu. Hamna akili ya kufikiri kazi ni umbea tu. Tambueni ni mengi mnaongea lakini hakuna linalotimia, mnajipa matumaini hewa. Nchi au CCM sio mtu mmoja ila ni taasisi inayolindwa na zaidi ya ujuavyo. Endeleeni kujifariji, sisi tunacheeeeeeekaaaaa
 
Mkuu umesahau msemo usemao...UKIPATA TUMIA NA UKIKOSA JUTIA!...
Hapana mkuu, hamna kitu kibaya kama mtu anakuibia kisha anakufanya fala, anakuonea na kukudharau.
Kuna tofauti gani na mtu anayechezea mkeo kisha akakudhihaki kwa sababu OCD au OCS ni mjomba wake?
 
Hongera kwa Kipanya ametumia akili kubwa sana ila taeleza vile nilivyoelewa.Ni kuwa timu kijani inagombana na imeacha goli wazi kabsa lakini anaetakiwa kupiga hyo penat nae hayuko sawa.Maana mguu anaotakiwa kuutumia ndio unamatatzo kwahyo inahitajika mbinu mbadala ili hiyo penalt ipigwe.Vinginevyo wanaogombana wanaweza kuelewana wakarud golin au mpigaj akapiga ila asifanikiwe au akafanikiwa.
 
Wapinzani ili uje uchukue nchi hii ni mpaka pale watakapopigania kupata tume bora ya uchanguzi!..Mengine tumuombe Mungu.
 
Back
Top Bottom