Hapo ni kuwa wana ccm wameamua kumuwachia mwenye chama maana wamechoka na yanayotokea chini yake
Yule mkuu wa Mkoa fulani alipendekeza jina limenitoka lina neno fication MPficationYaani ameinunua mjanja fulani hivi
Anakivuruga tu, mwisho wake atakuwa kiongozi wa kwanza mkimbizi nje ya nchi, maana kwenye chama hawatamtaka, na pia serikalini hawatamhitaji.
SSM haiwezi ng'oka kwa makaratasi
Inasikitisha sana kujua kuwa kumbe ushindi ule alikuwa wa wizi na hiyo ni dhuluma kubwa sana. Watu wamesimama kutwa nzima kisha kura zao zinaibiwa na sasa wezi wa kura sana Tena watu, wanashambulia kwa risasi, wakipata tetemeko wanadhihakiwa hadharani na hao wezi wa kura, wanakatazwa kukusanyika kikatiba lakini hao wezi wanakutana na mengi tuu!Juzi kina makamba na kinana walipost picha za chumba Masaki, waliiibia chadema kura zake za uraisi, chadema walishinda kwa kishindo
Watanzania hawaitaki kabisa CCM Mungu saidia litoke hili joka.
Poleni watumishi
Inasikitisha sana kujua kuwa kumbe ushindi ule alikuwa wa wizi na hiyo ni dhuluma kubwa sana. Watu wamesimama kutwa nzima kisha kura zao zinaibiwa na sasa wezi wa kura sana Tena watu, wanashambulia kwa risasi, wakipata tetemeko wanadhihakiwa hadharani na hao wezi wa kura, wanakatazwa kukusanyika kikatiba lakini hao wezi wanakutana na mengi tuu!
Niachie hapo maana hasira zinapanda
Hapana mkuu, hamna kitu kibaya kama mtu anakuibia kisha anakufanya fala, anakuonea na kukudharau.Punguza hasira mkuu ili tuendelee kushuhudia kifo cha ccm
Msanii Kipanya ameendelea kuzikonga nyoyo za wapenzi wa michoro hiyo hasa kipindi hiki ambacho ccm ipo kwenye sintofahamu ya kiuongozi.
Tafadhali tazameni hiyo picha chini hapoView attachment 1158779
Akili kubwa sana imetumika hapo.
Wengi wanaitazama hiyo katuni kujifurahisha... kuna ujumbe mzito sana na wenye kutafakarisha katika mchoro huo..
Ukiona mchoro una majibu rahisi ya kuattack upande mmoja basi hapo kazi ya sanaa imefeli
Anaeza akapaisha pia..subiria muendelezo uone
Nimeamini vijana wa Tanzania ni mazwazwa sana. Mnapelekwa na upepo wa mtu mmoja tu. Hamna akili ya kufikiri kazi ni umbea tu. Tambueni ni mengi mnaongea lakini hakuna linalotimia, mnajipa matumaini hewa. Nchi au CCM sio mtu mmoja ila ni taasisi inayolindwa na zaidi ya ujuavyo. Endeleeni kujifariji, sisi tunacheeeeeeekaaaaa
Hapana mkuu, hamna kitu kibaya kama mtu anakuibia kisha anakufanya fala, anakuonea na kukudharau.
Kuna tofauti gani na mtu anayechezea mkeo kisha akakudhihaki kwa sababu OCD au OCS ni mjomba wake?