Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Acha ajifariji. Chadema haitakaa ishinde Urais. Wakitaka kushinda basi wapinzani wote waungane watoe jina moja tu la mgombea.
usikalili maisha, time will come kwa hawa watu wanaoonekana ni waoga, waogofi wakakubali kufanya mabadiliko unajua ogopa sana mtu mpolee au Mkimya kwani siku akikusudia kufanya jambo ujue amedhamiria. So mabadiliko hayakwepeki hatakama itakua ni Karne ya 30.
 
Mfano huu hauna mahusiano na hiyo picha maana mpiga penalt hata kwa kichwa anaweza kupiga huo mpira na goli likaingia
Ha ha ha ..mbona unakataa mifano rahisi au unataka migumu?
Hamna penati ya kichwa na kwa mpigaji huyo, hapo goli hati hati.
 
Shukrani mkuu kwa kumjuza huyo bingwa wa kukaliri
usikalili maisha, time will come kwa hawa watu wanaoonekana ni waoga, waogofi wakakubali kufanya mabadiliko unajua ogopa sana mtu mpolee au Mkimya kwani siku akikusudia kufanya jambo ujue amedhamiria. So mabadiliko hayakwepeki hatakama itakua ni Karne ya 30.
 
Salam hizi ziwafikie wanafiki wote wanao jiita wafia chama pale lumumba
Kuwekwa pembeni kwa waliokulia na kusoma sayansi ya siasa ni hatari kwa ustawi wa ccm. Muda utakapofika athari za wao kuwa nje zitawanufaisha upinzani.
 
Mbona kama wameamua kulikimbia goli na hapo mwana cdm anajipanga kupiga penati wakati lango lipo tupu?
Mkuu sio kwamba pamoja na purukushan CHADEMA hawawezi kufunga goli kwa kuwa nguvu hyo hawana.
 
Msanii Kipanya ameendelea kuzikonga nyoyo za wapenzi wa michoro hiyo hasa kipindi hiki ambacho ccm ipo kwenye sintofahamu ya kiuongozi.

Tafadhali tazameni hiyo picha chini hapoView attachment 1158779
Lango limeachwa wazi lakini mpigaji mwenyewe anayetakiwa kufunga yupo hoi hawezi hata kuupiga huo mpira! Watamaliza ugomvi wao na kuikuta timu pinzani haijafanya lolote!
 
Sasa kuna watu wanapenda upinzani uwe na nguvu, na wanaponda kuwa upinzani ni dhaifu. Je, ni mtanzania gani anapaswa kuwa mpinzani? Hilo ni jukumu la nani? Au tu wafuata upepo? Ipo shida hapa.
Kwani mpinzani ni nani!?
 
1564986684068.jpeg


Cc, Mtatiro, Slaa, Ole Milya ect
 
Back
Top Bottom