Lakini mgombea wa chadema si mpaka akatwe CCM?Msanii Kipanya ameendelea kuzikonga nyoyo za wapenzi wa michoro hiyo hasa kipindi hiki ambacho ccm ipo kwenye sintofahamu ya kiuongozi.
Tafadhali tazameni hiyo picha chini hapoView attachment 1158779
usikalili maisha, time will come kwa hawa watu wanaoonekana ni waoga, waogofi wakakubali kufanya mabadiliko unajua ogopa sana mtu mpolee au Mkimya kwani siku akikusudia kufanya jambo ujue amedhamiria. So mabadiliko hayakwepeki hatakama itakua ni Karne ya 30.Acha ajifariji. Chadema haitakaa ishinde Urais. Wakitaka kushinda basi wapinzani wote waungane watoe jina moja tu la mgombea.
Ha ha ha ..mbona unakataa mifano rahisi au unataka migumu?Mfano huu hauna mahusiano na hiyo picha maana mpiga penalt hata kwa kichwa anaweza kupiga huo mpira na goli likaingia
Ha ha ha ..mbona unakataa mifano rahisi au unataka migumu?
Hamna penati ya kichwa na kwa mpigaji huyo, hapo goli hati hati.
usikalili maisha, time will come kwa hawa watu wanaoonekana ni waoga, waogofi wakakubali kufanya mabadiliko unajua ogopa sana mtu mpolee au Mkimya kwani siku akikusudia kufanya jambo ujue amedhamiria. So mabadiliko hayakwepeki hatakama itakua ni Karne ya 30.
Lakini mgombea wa chadema si mpaka akatwe CCM?
Kuwekwa pembeni kwa waliokulia na kusoma sayansi ya siasa ni hatari kwa ustawi wa ccm. Muda utakapofika athari za wao kuwa nje zitawanufaisha upinzani.
Anajiuliza ccm ikisambaratika atapata wapi mkate wake wa kila sikuKwani umepanic dogo?
Ujumbe gani huo, weka wazi hapa tutakuelewaAkili kubwa sana imetumika hapo.
Wengi wanaitazama hiyo katuni kujifurahisha... kuna ujumbe mzito sana na wenye kutafakarisha katika mchoro huo..
Mkuu sio kwamba pamoja na purukushan CHADEMA hawawezi kufunga goli kwa kuwa nguvu hyo hawana.Mbona kama wameamua kulikimbia goli na hapo mwana cdm anajipanga kupiga penati wakati lango lipo tupu?
Lango limeachwa wazi lakini mpigaji mwenyewe anayetakiwa kufunga yupo hoi hawezi hata kuupiga huo mpira! Watamaliza ugomvi wao na kuikuta timu pinzani haijafanya lolote!Msanii Kipanya ameendelea kuzikonga nyoyo za wapenzi wa michoro hiyo hasa kipindi hiki ambacho ccm ipo kwenye sintofahamu ya kiuongozi.
Tafadhali tazameni hiyo picha chini hapoView attachment 1158779
Mbona kama wameamua kulikimbia goli na hapo mwana cdm anajipanga kupiga penati wakati lango lipo tupu?
Ikiwa hujaelewa mchoro picha, maandishi yatakuchanganya tu mkuu.Ujumbe gani huo, weka wazi hapa tutakuelewa
Kwani mpinzani ni nani!?Sasa kuna watu wanapenda upinzani uwe na nguvu, na wanaponda kuwa upinzani ni dhaifu. Je, ni mtanzania gani anapaswa kuwa mpinzani? Hilo ni jukumu la nani? Au tu wafuata upepo? Ipo shida hapa.
Haifi na wala haitokuja kufa kamwe.Ccm ishajifia bado kuzikwa