Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)



Mnyororo - sheria zilizowekwa kwa mujibu wa katiba yao

Polisi - TZ vyombo vya dola vipo juu ya sheria Watu - TZ Raia wote wapo chini ya sheria

Macho ya polisi yapo kwa CHADEMA

NB; mtoto aliyevaa vidoti vya zambarau na kofia ya kijani ni ACT Wazalendo wamebeba agenda za CCM

Chanzo bofya spoiler
 
Mwizi huyu hana elimu, hana watu serilikalini wala si kada wa chama vipi atafufuka aje apenye awe fisadi namba moya kisha ahonge Takukuru, maafisa kwenye idara ya usalama na huko Kwa pilato? We unamuona si rahisi kiasi hicho
 
Kuna jambazi kauwawa sengerema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…