Sammo Hung
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,151
- 1,321
- Thread starter
-
- #41
Huyu dogo anamkomesha baba yake kwa maswali magumu aisee...
Hahahaa
Nyaraka zipi hizo?Mbona tunapenda kunyapianyapia yasiyo tuhusu!mimi nasubiri ya nyaraka
current issue, ni mambo ya nyaraka kujibishana, mara feki, mara sijui mtu kafukuzwa kazi. mara kuna watu watajibu, mara kwa nini wengine hawajaandikiwa.Nyaraka zipi hizo?Mbona tunapenda kunyapianyapia yasiyo tuhusu!