Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

18377921dfbe77ef9a141dd67e2542e3.jpg
Huyu dogo anamkomesha baba yake kwa maswali magumu aisee...
 
Aisee kipanya ni moto wa kuotea mbaliii

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
namkubali sana masudi maka nimelazimika kuvunja ratiba zangu kwa kumsikiliza PB japo hio redio huwa siisikilazaji, ajaliwe heri zote kipanya
 
Ni Uzi bomba sana....
Ombi kwa Mods, wasiufute Uzi, wakidhani jamaa(Masoud) anatumia nafasi hii kujitangaza..!

Wengi kwa sasa hawana muda wa kumsoma kwenye Magazeti, kupitia hii special thread, angalau tutazipata na kusoma Vibonzo vyake....

Hii itapelekea kujifunza na kuburudisha BONGO...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar za leo wanabodi,

Samahani,kwa yeyote mwenye katuni za The best East African Cartoonist (Masoud Kipanya a.k.a Kp) anaweza kuweka ktk Uzi huu ili tuweze kufurahia kpaji cha Msanii wetu
Binafsi naanza na hii...na ninyi mtaongezea nyingine
tapatalk_1528448721303.jpeg
 
Nyaraka zipi hizo?Mbona tunapenda kunyapianyapia yasiyo tuhusu!
current issue, ni mambo ya nyaraka kujibishana, mara feki, mara sijui mtu kafukuzwa kazi. mara kuna watu watajibu, mara kwa nini wengine hawajaandikiwa.
hiyo ni fursa msanii kutupa habari picha kwa njia ya katuni.
 
Back
Top Bottom