Katuuzia K-Vant feki kisha katutisha. Hakika mwenye pesa mpishe apite!

Nipo likizo Kahama. Jana jioni rafiki yangu alinunua chupa mbili kubwa za Pombe ya KVant kwenye duka la jumla hapa Mjini. Tulipoanza kutumia nikagundua zina ladha tofauti. Na kweli tulipochunguza zile lebo tukagundua zina utofauti na KVant original.

Tulipozirudisha dukani muuzaji akatutisha kwamba atatufanyia kitu mbaya, tukaenda kutoa taarifa Polisi.

Tulipowaelekeza duka wao wenyewe Polisi wakasema kama ni dukani kwa Mushi magumashi pale ndio zake, kisha wakatuambia tusamehe tu au kama tumekereka sana tukatoe taarifa TRA.

Walevi wenzangu tuwe makini, Pombe feki zimetapakaa mitaani ndio maana wagonjwa wa Figo wanaongezeka kila kukicha.
...... Oyee
 
Walevi wenzangu tuwe makini, Pombe feki zimetapakaa mitaani ndio maana wagonjwa wa Figo wanaongezeka kila kukicha.🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Mushi Magumashi
Hii taarifa imenisikitisha sana! Huyu mushi magumashi hatutamuacha salama chama cha walevi Tanganyika
 
Kahama Ni mji mdogo lakini mji wa wababe.
Wababe Hawa huwa wameshawahi kwa OCD,Meya, DC, mkurugenzi na OCS kabla hawajafanya tukio. By the time wewe unafika mbele utaambiwa au uwasamehe au unapotezewa tu.
Polisi mdogo akienda front kuwabana awe trafik au Hawa wa kawaida ajiandae kubadilishiwa majukumu.
 
Kwanini unywe k-vant Kwanza?.
Nakuuliza km mstaafu mkuu wa pombe kali zote. henessy,grants,gordons gin.
Zilikua genuine hata nyagi.
Na pombe fake ya kwanza kuijua ilikua Valeur.
Tulikua tunakunywa 25000 grants,henessy 40,Gordon 35.
Nyagi 8000.
Tumezitwanga na mafisadi Papa mjini hapa enzi zetu.
Msafara wa mamba mijusi tumo tu.
Hatujawai kulalamika.
Kunywa Fanta mkuu kama huna hela.
Yesu mwenyewe anahairisha safari ya kuja kutukomboa kila siku.
 
Unaonekana mzee lakini huna busara.
 
Tunashindwa kuongea kitu maana wanywaji(walevi) mna nongwa Sana......
 
Nilikuwa napenda sana konyagi,eti nayo siku hz ina feki yake tena ile ladha yake ya ukali ya miwa hata huisikii,sahv inabid niwe nakunywa bia tu
 
Kwa nin mnakunywa mipombe ya hovyo hovyo?
 
Back
Top Bottom