Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kwanini unywe k-vant Kwanza?.
Nakuuliza km mstaafu mkuu wa pombe kali zote. henessy,grants,gordons gin.
Zilikua genuine hata nyagi.
Na pombe fake ya kwanza kuijua ilikua Valeur.
Tulikua tunakunywa 25000 grants,henessy 40,Gordon 35.
Nyagi 8000.
Tumezitwanga na mafisadi Papa mjini hapa enzi zetu.
Msafara wa mamba mijusi tumo tu.
Hatujawai kulalamika.
Kunywa Fanta mkuu kama huna hela.
Yesu mwenyewe anahairisha safari ya kuja kutukomboa kila siku.
Hapa mwenyewe unaona kama umeandika kichekesho au umeonesha ni mjanja. Kumbe fala bwege, mshamba na umeonesha huna akili. Kubwa jinga.