Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kwanini unywe k-vant Kwanza?.
Nakuuliza km mstaafu mkuu wa pombe kali zote. henessy,grants,gordons gin.
Zilikua genuine hata nyagi.
Na pombe fake ya kwanza kuijua ilikua Valeur.
Tulikua tunakunywa 25000 grants,henessy 40,Gordon 35.
Nyagi 8000.
Tumezitwanga na mafisadi Papa mjini hapa enzi zetu.
Msafara wa mamba mijusi tumo tu.
Hatujawai kulalamika.
Kunywa Fanta mkuu kama huna hela.
Yesu mwenyewe anahairisha safari ya kuja kutukomboa kila siku.
nacheni ulevi serikali ikose kodi
Swali zuri sana hiliMkuu hamkupiga picha hizo kvant fake? Huyo jamaa anaitwa nani na duka lake lipo wapi?
Umesema kweli.Bila picha Uzi huu ni batili
Kazi kweli kweli
Sasa tuongeze maji wakati tunakunywa wenyewe ?Na nyie huongezea maji kupiga pesa.
Kwa hiyo jamaa ana nguvu kuliko polisi? βΉοΈNipo likizo Kahama. Jana jioni rafiki yangu alinunua chupa mbili kubwa za Pombe ya KVant kwenye duka la jumla hapa Mjini. Tulipoanza kutumia nikagundua zina ladha tofauti. Na kweli tulipochunguza zile lebo tukagundua zina utofauti na KVant original.
Tulipozirudisha dukani muuzaji akatutisha kwamba atatufanyia kitu mbaya, tukaenda kutoa taarifa Polisi.
Tulipowaelekeza duka wao wenyewe Polisi wakasema kama ni dukani kwa Mushi magumashi pale ndio zake, kisha wakatuambia tusamehe tu au kama tumekereka sana tukatoe taarifa TRA.
Walevi wenzangu tuwe makini, Pombe feki zimetapakaa mitaani ndio maana wagonjwa wa Figo wanaongezeka kila kukicha.
Tan,ania inamilikiwa na wenye misuliNipo likizo Kahama. Jana jioni rafiki yangu alinunua chupa mbili kubwa za Pombe ya KVant kwenye duka la jumla hapa Mjini. Tulipoanza kutumia nikagundua zina ladha tofauti. Na kweli tulipochunguza zile lebo tukagundua zina utofauti na KVant original.
Tulipozirudisha dukani muuzaji akatutisha kwamba atatufanyia kitu mbaya, tukaenda kutoa taarifa Polisi.
Tulipowaelekeza duka wao wenyewe Polisi wakasema kama ni dukani kwa Mushi magumashi pale ndio zake, kisha wakatuambia tusamehe tu au kama tumekereka sana tukatoe taarifa TRA.
Walevi wenzangu tuwe makini, Pombe feki zimetapakaa mitaani ndio maana wagonjwa wa Figo wanaongezeka kila kukicha.
Kumbe Kahama nao ni mji mkubwa?Miji mikubwa kama Kahama hayo ni mambo ya kawaida
Kwa hiyo utawala wa sheria Tanzania ni zuga tu!?Tan,ania inamilikiwa na wenye misuli
Prove me wrong.Kwa hiyo utawala wa sheria Tanzania ni zuga tu!?
Sawa kima msengeππππππ¦Hapa mwenyewe unaona kama umeandika kichekesho au umeonesha ni mjanja. Kumbe fala bwege, mshamba na umeonesha huna akili. Kubwa jinga.
Nashukuru sana ndugu. Hayo maneno anayeyasema ndiyo yaliyokujaa. hayana athari kwangu hata kidogo. Nakuonea tu huruma maisha uliyochagua kuishi.Sawa kima msengeππππππ¦
Usianze kutoka watu km huwezi kuvumilia matusi.Nashukuru sana ndugu. Hayo maneno anayeyasema ndiyo yaliyokujaa. hayana athari kwangu hata kidogo. Nakuonea tu huruma maisha uliyochagua kuishi.
Kabisaa mkuu...kuna sehemu nlikaa juz nikawa napiga size ya kati...jamaa kaja nae alikuwa anaichukua hapo hapo kweny pombe shop...Sasa kwny simu ana ile scanner ya kuscan codes zile...Cha ajabu hazikusoma hata moja...tangia hyo siku nmeacha kunywa nyag..acha nihamie kweny captain Morgan kwa mudaNilikuwa napenda sana konyagi,eti nayo siku hz ina feki yake tena ile ladha yake ya ukali ya miwa hata huisikii,sahv inabid niwe nakunywa bia tu
Usianze kutoka watu km huwezi kuvumilia matusi.
By the way hapa tunachangamsha baraza tu.
Sasa ukitukana unatukanwa.
We call a spade,Spade no blah blah